Dondoo kuhusu ufadhili wa masomo nje ya Tanzania (Scholarship updates)

Ungeweka link ya hicho chuo na hiyo scholarship ingekua poa mkuu.
 
Jamani naombeni mwenye link inayoweza kunisaidia kupata scholarship kwa urahisi kwenye nyanja za PHARMACY, MEDICINE anisaidie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za majukumu.
Ndugu yangu amejitahidi kadri ya uwezo wake kutafuta Scholarship ya Mass Communication and Journalism kwa level ya Phd nje ya nchi, kama Kuna mtu atakayeweza kufanikisha hitaji lake basi njoo PM tuyaongee.
 
Levo nyingine hizi mm siziwez ngoja niwachie wenzangu ngoma waicheze
 
vyuo mbona ni vingi tu? au anataka chuo gani hasa, na je ana vigezo stahiki?
 
Ndugu zangu naomba kufamishwa njinsi ya kupata scolarship nimesoma PCB but now nipo chuo hapa tanzania ila ndoto yangu nikusoma nje pia nilipangiwa facult nisiyopenda nina mwaka wa kwanza naingia wa 2 ko please ushuri wako ni nguzo isiyo dondoka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante ila nilikua nataka nijue vyuo kama kujilipia ninauwezo au vyuo vya nje vinacyoweza kunichukua kulingana na ufaulu wang

Sent using Jamii Forums mobile app
Alama mbovu sana hizo.

Huwezi kupata ufadhili.

Ila kama wazee wako wanajiweza waambie wawatafute hawa jamaa wanaitwa Global Education Link au kuna wengine wanaitwa University Abroad Link (UAL)

Kuna mpwa wangu alifanikiwa kupata chuo kizuri nchini China kupitia hawa UAL,kuna jamaa anaitwa Tony Mtae yeye ndio anawaunganisha na vyuo vya nje ila kwa bahati mbaya namba yake kwa sasa sina .

Ila kwa kukusaidia nenda IG ukamtafute akutatulie shida yako.

Anatumia jina hilohilo Tony_mtae.
 
Cc :Jamii Forums

Njoo uunganishe Uzi

Kijana anarudia rudia kila mara uzi huo huo mmoja licha ya kupewa majibu stahiki.
 
Huyo IG nitapataje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tony mtae nitampata wap


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…