Dondoo mbili tatu kuhusu Simba SC

Dondoo mbili tatu kuhusu Simba SC

Soma sababu za okwi kurudi alafu ufute kipengele mmelipwa mil 220 bila kutoa I...

Mlitaka kuwaingizachaka muumuuze kwingine dah wameshtuka huyo mtakufanae msimbazi anakujanandege gani tukamshangilie at least alivaa jezi za timu...
 
Mkuu Sembo , mimi sina tawi nifanyeje make nlishawahi hata kumuuliza Meneja Ngaga alipokuwa na Timu Mwanza. nsaidie npate hiyo kadi. Nko Mwanza wilaya Misungwi

Mkuu BBA gharama ya kulipia uanachama ni Tsh. 12.000/= kwa mwaka, pia unalipia gharama ya Kadi pamoja na usafiri ni Tsh. 18.000/=, ambapo kadi inakuafuata ulipo, na hayo malipo unaweza Fanya kwa Tigo pesa, M Pesa, Airtel Money au NMB.. Kuna fomu nimeiweka hapo juu, utapata maelezo yote. Kama huioni pitia hapa http://simbasports.co.tz/ alafu nenda category ya membership utapata maelezo yote.
 
Last edited by a moderator:
Benki iko safe zaidi nw days dar imebadilika kabisa hulunji
 
Yanga 3 wao 0

Nb wamekosa penalty mbili

Unajua Mkuu Pdidy "Mtalamu" Okwi fungu lake linatakiwa liingie katika a/c ya Simba Sc kabla mwezi huu haujaisha.. Wakizingua tunamrudisha.
 
Last edited by a moderator:
mkuu bba gharama ya kulipia uanachama ni tsh. 12.000/= kwa mwaka, pia unalipia gharama ya kadi pamoja na usafiri ni tsh. 18.000/=, ambapo kadi inakuafuata ulipo, na hayo malipo unaweza fanya kwa tigo pesa, m pesa, airtel money au nmb.. Kuna fomu nimeiweka hapo juu, utapata maelezo yote. Kama huioni pitia hapa Simba Sports Club | Simba Sports Club alafu nenda category ya membership utapata maelezo yote.

hapa natumia cm ntacheki kwny pc. But napataje wadhamini make naweza lipa wakati wowote
 
Last edited by a moderator:
hapa natumia cm ntacheki kwny pc. But napataje wadhamini make naweza lipa wakati wowote

Mkuu wadhamini sharti wawe ni wanachama wa Simba SC, wenye kadi.. Hao ndo wadhamini wako.
 
Unajua Mkuu Pdidy "Mtalamu" Okwi fungu lake linatakiwa liingie katika a/c ya Simba Sc kabla mwezi huu haujaisha.. Wakizingua tunamrudisha.
mtoamada afute nambasita kabla atujamshtaki kuudanganya umma
 
Last edited by a moderator:
Lushoto tulikwenda kwa ajili ya kufanya mazoezi ya utimilifu ya mwili ( kujenga physique ).. Sasa hivi tupo Unguja tukiimalizia kujifunza mbinu za uwanjani I mean soka la pasi fupi fupi za kasi, huku tukishambulia kama nyuki.. Kipindi hicho tunajenga Great Wall of China katika defence.

ukuta wa china?!!!
 

Attachments

  • DSC_0067.jpg
    DSC_0067.jpg
    46.3 KB · Views: 73
Wakandalasi watakaoujenga ni wale waliojenga uwanja wa taifa au wengine

Mkuu Great Wall of China wakandarasi baadhi hawakutoka China.. Hao baadhi ndo tunawatumia sisi.
 
Wakandalasi watakaoujenga ni wale waliojenga uwanja wa taifa au wengine
Ule uwanja wa ahsante rage kule mbweni umeishia wapi??KUNA TAARIFA MMEAANZA KUUZA VIPANDE VIPANDE.MSAADA PLS NAMI NAITAJI KIWANJA NAAMINI MTANIPA BEI YA MTANI SIKINIKOMOA..
 
Back
Top Bottom