Dondoo mbili tatu kuhusu Simba SC

Dondoo mbili tatu kuhusu Simba SC

Ule uwanja wa ahsante rage kule mbweni umeishia wapi??KUNA TAARIFA MMEAANZA KUUZA VIPANDE VIPANDE.MSAADA PLS NAMI NAITAJI KIWANJA NAAMINI MTANIPA BEI YA MTANI SIKINIKOMOA..

Mkuu Karibu 25*25 sa iv ni 3mil baada ya 5mil hapo awali tumeona tushushe maana watu wanaliogopa lile pori heti kuna Chui mle
 
Mkuu Karibu 25*25 sa iv ni 3mil baada ya 5mil hapo awali tumeona tushushe maana watu wanaliogopa lile pori heti kuna Chui mle
sio tu chui mpwa alixikwa nduguzetu hawa wanaoporwa uhai mwz kila siku akiwa.mzima.mzima
A..we pekua kwenye mashimo...
 
Bei nzuri ila uliza uongozi kwa...watu wanaogopa mpwaa??walidanganywa na.mganga..lo wakifanya hivyo wafadhili wanamiminika loh
 
Simba wao hawajashiliki Ndondo ya Dokta mwaka kwani?
 
Wamemuuza okwi na kumnunua mgosi yaani kama Liverpool walimuuza suarez na kumnunua baloteli.
 
Back
Top Bottom