Ule uwanja wa ahsante rage kule mbweni umeishia wapi??KUNA TAARIFA MMEAANZA KUUZA VIPANDE VIPANDE.MSAADA PLS NAMI NAITAJI KIWANJA NAAMINI MTANIPA BEI YA MTANI SIKINIKOMOA..
Mkuu Karibu 25*25 sa iv ni 3mil baada ya 5mil hapo awali tumeona tushushe maana watu wanaliogopa lile pori heti kuna Chui mle