cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Awww sasa hapo shida iko wapi? Ni suala la location tyuuh, after ushindi wetu pale kwa mkapa, na sie mashabiki tunazama uwanjan kwetu kusakata gozi la dk 90 lenye kila aina ya ladha ya mpambano. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Daah nataman siku hiyo baada ya kuwapiga Yanga kipigo cha mbwa koko, uje geto tujipongeze kwa game fln hivi matara (matata), nikupe vitu adim.
Sent from my Infinix X572 using JamiiForums mobile app