holy spirit
JF-Expert Member
- Nov 30, 2020
- 856
- 1,376
PhD yenyewe ndugu inaleta hela, ndio zinaweza zisiwe nyingi za kusimamisha magorofa ila tusidanganye kwamba PhD holder anaepeleka take home hata ya 3M Kwa mwezi ana maisha ya chini. PhD Ina benefits sana especially kama umesoma mapema ukichelewa labda kwenye 35 hivi uwe nayo. Japo sio lazima kwa kila mtu.u love to stress yourself.
PhD ya nini sasa mkuu?
Au unataka excuse ya kutokuwa na hela?
Kwamba uwaambie watu bado unasoma ndio maana hauna hela?