Dondoo za masomo ya PhD UDSM

u love to stress yourself.

PhD ya nini sasa mkuu?

Au unataka excuse ya kutokuwa na hela?

Kwamba uwaambie watu bado unasoma ndio maana hauna hela?
PhD yenyewe ndugu inaleta hela, ndio zinaweza zisiwe nyingi za kusimamisha magorofa ila tusidanganye kwamba PhD holder anaepeleka take home hata ya 3M Kwa mwezi ana maisha ya chini. PhD Ina benefits sana especially kama umesoma mapema ukichelewa labda kwenye 35 hivi uwe nayo. Japo sio lazima kwa kila mtu.
 
Waliochelewa watapata tu stress hahaha, PHD ni kichomi jaman
 
Kwa hiyo wanapenda watu wavivu? Jaman mimi sio mvivu kwenye kusoma yaani sijui kupeleka kazi niko sharp kiasi kwamba hata kama unanisimamia lazima nikusumbue
Yani wanataka umalize kazi yako on time uwajulishe ila wao kufanya responsibility zao wanataka wafanye Kwa mda wao wasiwe pressured. Hawa watu wamepewa power mno
 
Yani wanataka umalize kazi yako on time uwajulishe ila wao kufanya responsibility zao wanataka wafanye Kwa mda wao wasiwe pressured. Hawa watu wamepewa power mno
Ndio hawataki kusumbuliwa, Wanataka ukishamtumia
kazi usimtafute kumkumbusha mpaka hapo atakapo
kurudishia mwenyewe hata kama ni baada ya miezi 3.
 
Shida ipo kulilia kubusubusu na kuomba apigwe pumbu huko PM. Bora ule pesa ya yatima kuliko kutifuliwa mtaro huku umesoma. Au nawe ndio wale wale, unapigwa pipe?πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…