Mkuu uko km Mimi, mm ni mvivu sana kusoma yaani hata degree sijui niliipateje.... Mtu akitaka nisome labda awe ananilipa mshahara kila siku, nikitoka lecture ni mbususu tu na pombe nijipooze machungu baada ya kufanya jambo nisilolipenda...
Hapo sawa. Bahati mbaya mie Sina.Kusoma ni kipaji
Kwanini tena!! Bongo nuksi
Tuko pamoja babuWe acha tu mjukuu wangu. Tufanye mambo mengine...
Shukran sana 🤝 🤝 🤝Oooh jaman, Mungu akusaidie ada ipatikane, nakuelewa kabisa
Hii ni adhabu sasa sio elimuMkeka wa graduates wa mwaka huu huo wa SUA soma registration number uone walikuwa registered mwaka gani. Watu wamesoma masters 3 to 4 years, kuna PhD graduates wawili apo walikuwa registered 2017 wamesoma 7 years. Japo elimu ya PhD hata masters pia ni kipimo cha resilience usiogope kwenda SUA.
View attachment 3113998
Hata SUA ni baadhi ya Supervisor ndio wasumbufu hapo. Kwenye huo mkeka hao PhD wote wa 2017 nawafahamu. Mmoja hapo aliishaamua kuacha licha ya kumshauri sana. Huyo supervisor wake ni kirusi hatari sana hapo college ya Veterinary. Jamaa alikuwa anapeleka kazi inakaa mwaka mzima, akaamua kurudi kibaruani tu na chuo akazira. Hapo kamaliza kazi yake kuandika thesis 2022 kaja kugraduate 2024.Mkeka wa graduates wa mwaka huu huo wa SUA soma registration number uone walikuwa registered mwaka gani. Watu wamesoma masters 3 to 4 years, kuna PhD graduates wawili apo walikuwa registered 2017 wamesoma 7 years. Japo elimu ya PhD hata masters pia ni kipimo cha resilience usiogope kwenda SUA.
View attachment 3113998
Daah! PoleMasters tu nimeshindwa hapo. Nitaanza 2025 upya SUA au ARU.
UD bwana.
Mbona unafwata moto mzeeMasters tu nimeshindwa hapo. Nitaanza 2025 upya SUA au ARU.
UD bwana.
Ma supervisor tatizo sanaHata SUA ni baadhi ya Supervisor ndio wasumbufu hapo. Kwenye huo mkeka hao PhD wote wa 2017 nawafahamu. Mmoja hapo aliishaamua kuacha licha ya kumshauri sana. Huyo supervisor wake ni kirusi hatari sana hapo college ya Veterinary. Jamaa alikuwa anapeleka kazi inakaa mwaka mzima, akaamua kurudi kibaruani tu na chuo akazira. Hapo kamaliza kazi yake kuandika thesis 2022 kaja kugraduate 2024.
Ila SUA kuna supervisors wengi tu hawana shida, watu PhD wanamaliza miaka 3 hadi 4 bila shida kabisa
Wakati mwingine Hawa lecturer maslahi madogoHata SUA ni baadhi ya Supervisor ndio wasumbufu hapo. Kwenye huo mkeka hao PhD wote wa 2017 nawafahamu. Mmoja hapo aliishaamua kuacha licha ya kumshauri sana. Huyo supervisor wake ni kirusi hatari sana hapo college ya Veterinary. Jamaa alikuwa anapeleka kazi inakaa mwaka mzima, akaamua kurudi kibaruani tu na chuo akazira. Hapo kamaliza kazi yake kuandika thesis 2022 kaja kugraduate 2024.
Ila SUA kuna supervisors wengi tu hawana shida, watu PhD wanamaliza miaka 3 hadi 4 bila shida kabisa
Wanalipwa vizuri shida kubwa ni kupewa uhuru mwingi wanahitaji kukabwa kidogoWakati mwingine Hawa lecturer maslahi madogo
Nina jamaa zangu wako huko, wanadai hawana House allowance Wala transport allowance hadi ufikie level ya Senior lecturer. Uwe na PH D na uzoefu wa kutosha.Wanalipwa vizuri shida kubwa ni kupewa uhuru mwingi wanahitaji kukabwa kidogo
Tutorial 1.6 akikatwa roughly anachukua 1.3 bila loan board au 1.2 kama ana loanNina jamaa zangu wako huko, wanadai hawana House allowance Wala transport allowance hadi ufikie level ya Senior lecturer. Uwe na PH D na uzoefu wa kutosha.
Sasa hizo allowance kwenye baadhi ya taasisi watu wanaanza nazo ajira mpya tu.
Hata ukiangalia mishahara Tutorial Assistant anaanza na 1.6M
Hiyo huwezi kuita malipo mazuri ukilinganisha na CMSA, TCRA, eGA, PSSF, PURA, TRA na wengineo
Huyo Tutorial Assistant akikatwa HESLB anabakiwa na laki 8-9. Hapo Hana Allowance yeyote nyingine.Tutorial 1.6 akikatwa roughly anachukua 1.3 bila loan board au 1.2 kama ana loan
Assistant Lecturer 2.5 akikatwa roughly 1.8 bila loan 1.6 akiwa na loan
Lecturer 3.8 akikatwa roughly 2.7 au 2.8
Hizi ni ranks unazopata Kwa kwa kuwa na degree fulani Bachelor, Masters, PhD si ndio achana na senior lecturers, associate professors na professors. Kama unaona haya ni malipo madogo basi ila mi naona kama ni hela nzuri tu
Tutorial Assistant kwanza huwa ni cheo cha muda mfupi laki 8 maybe kama ana mikopo mingine ila hata loan board ikitolewa 1.1 M or 1M Kwa tutorial mwenye loan uhakikaHuyo Tutorial Assistant akikatwa HESLB anabakiwa na laki 8-9. Hapo Hana Allowance yeyote nyingine.
Ingiza laki 9 kwenye maisha ya mjini
atabadilisha mboga tu ila hawezi kuwa comfortable sana.
Kupata scholarships za PhD sio ngumu sana wengi wanapata vyuo vizuri tu Europe na Asia. Masters wengi wanasoma kwenye vyuo walivyoajiriwa kama tutorials na hawalipi ada in full kuna punguzo na hela ya research ya Masters vyuo vinatoa. PhD ndio expensive sana, Masters sio expensive kivileLakini pia Hawa watu ili mshahara upande lazima usome. Na elimu ni hela usipopata ufadhili. Kwahiyo wengi wanajikuta na madeni