The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,242
- 45,930
Mkuu uko km Mimi, mm ni mvivu sana kusoma yaani hata degree sijui niliipateje.... Mtu akitaka nisome labda awe ananilipa mshahara kila siku, nikitoka lecture ni mbususu tu na pombe nijipooze machungu baada ya kufanya jambo nisilolipenda...
Bora Yako wewe una degree, mie nasikia tu Kwa watu.
Ila napenda kujisomea mwenyewe, sipendi ule mfumo wa kufundishwa.