Pagani Zonda
JF-Expert Member
- Aug 10, 2018
- 685
- 468
Nakubali2.supernatural
Shadow and bonesWapendwa habari zenu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo, naombeni mtiririshe series kali zinazohusu uchawi, vampires, warewolfs and all supernaturals. Zangu mimi naanza na;
1. Vampire diaries
2.supernatural
3. Riverdale
4. Legacies
5. Midnight mass
6. Shadow hunters
7.teen wolf
8.The originals
9. Kuna moja ilikuwa ya kifilipino ina husu wolves na vampires ya zamani kweli, nmeisahau jina
Zipo nyingi hadi zingine nmesahau majina
Unaiachaje ? MERLIN 🤓🤓Wapendwa habari zenu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo, naombeni mtiririshe series kali zinazohusu uchawi, vampires, warewolfs and all supernaturals. Zangu mimi naanza na;
1. Vampire diaries
2.supernatural
3. Riverdale
4. Legacies
5. Midnight mass
6. Shadow hunters
7.teen wolf
8.The originals
9. Kuna moja ilikuwa ya kifilipino ina husu wolves na vampires ya zamani kweli, nmeisahau jina
Zipo nyingi hadi zingine nmesahau majina
Mimi mpaka nili be nicknamed THE SEEKER,Wakati sijazeeka nilikuwa napenda legend of the seeker
Ilikuwa balaa sana ile kitu. Kumnbe ulikuwa mdau wa ile kituMimi mpaka nili be nicknamed THE SEEKER,
Mother confesser ilikua balaaa........🤓
The 100Midnight Texas sijui kwann waliicancel hii series kali sana, [emoji24]
Secret Circle nayo waliicancel [emoji24]
Priest,
Interview with the Vampire (hii ina Movie ya mwaka 94 na series ya mwaka 2022)
The Mummy,
Dracula Untold (i hope wataleta part 2)
From,
The Quite place,
Zipo nyingi sana
Nili ipenda sana nili angaliaga Zaid ya mara 100Ilikuwa balaa sana ile kitu. Kumnbe ulikuwa mdau wa ile kitu
Zeddicus Zu'l Zorander kwa kifupi Zedd. Nlienda teknolojia ya kuunda zile ramani zinaonyesha watu wanatembeaNili ipenda sana nili angaliaga Zaid ya mara 100
Yule Mzee Ali itwaga nani yule yule mganga...??
Hahahaha hata mimi nimejishangaa ingawa Merlin sio namba moja yangu, namba moja yangu ya muda wote ni Teen Wolf, sijui nimeirudia mara ngapi ile series na sijawahi kuichokaUnaiachaje ? MERLIN [emoji851][emoji851]
Weka number one hapo....
Arosto ya From sio mchezo yaan najuta kuianza mapema bora ningesubiri episodes zote zikamilike, dahShadow and bones
From
Riverdale haina uchawi bhanaWapendwa habari zenu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo, naombeni mtiririshe series kali zinazohusu uchawi, vampires, warewolfs and all supernaturals. Zangu mimi naanza na;
1. Vampire diaries
2.supernatural
3. Riverdale
4. Legacies
5. Midnight mass
6. Shadow hunters
7.teen wolf
8.The originals
9. Kuna moja ilikuwa ya kifilipino ina husu wolves na vampires ya zamani kweli, nmeisahau jina
Zipo nyingi hadi zingine nmesahau majina
Mzee alikua mtalban na alikua anapotea🤓🤓Zeddicus Zu'l Zorander kwa kifupi Zedd. Nlienda teknolojia ya kuunda zile ramani zinaonyesha watu wanatembea
Hivi the 100 ilikua ina supernatural kweli? Sio Sci-Fi na Action?The 100