Pagani Zonda
JF-Expert Member
- Aug 10, 2018
- 685
- 468
- Thread starter
- #41
Unaonekana unazijua series nyingi nzuri. Nikipata muda nitaendelea kuzifuatilia
Kuna hii series ya Yellow Jackets ni tamu sanaa,
Ila ni Thriller sio supernatural,
Wanafunzi wa high school walipata ajali ya ndege na kudondokea msituni, waliopona wakajaribu kusurvive maisha ya pale msituni maana hawakupata msaada wowote, walianza hadi kulana nyama wenyewe kwa wenyewe chezeya njaa,
Miaka 25 baadae wanaonekana wameshakua wakubwa wana maisha mengine lakini walisurvive vipi msituni? walifanya siri hawakusema, sasa kuna kitu kina wa hunt ukubwani, story ina enda kisengele nyuma ila ni nzuri sana, kila kipande unatamani kujua imekuaje, haitabiriki.