Dondosha series nzuri zinazohusu uchawi

Dondosha series nzuri zinazohusu uchawi

Kwenye MERLIN nilipenda sigment za DRAGON,

Dragon wa kwenye MERLIN alikua na busara sanaaa yaani balaa...

Advertisement yake....[emoji851]

In a land of myth, and a time of magic, the destiny of a great kingdom rests on the shoulders of a young boy. His name... Merlin.
Hiki kitu n [emoji91]
 
Wapendwa habari zenu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo, naombeni mtiririshe series kali zinazohusu uchawi, vampires, warewolfs and all supernaturals. Zangu mimi naanza na;

1. Vampire diaries
2. Supernatural
3. Riverdale
4. Legacies
5. Midnight mass
6. Shadow hunters
7. Teen wolf
8.The originals
9. Kuna moja ilikuwa ya kifilipino ina husu wolves na vampires ya zamani kweli, nmeisahau jina

Zipo nyingi hadi zingine nmesahau majina
Ha ha, hii ni Safi sana.

Nimefurahi umeleta huu uzi hapa, kwa sababu mara nyingi nyuzi zinazoletwa huwa zikionyesha au kusingizia "Waafrika" ndio wanaopenda "Uchawi"! Loh

Hebu jioneni wenyewe ni jinsi gani "Wazungu" wanavyopenda uchawi. Mpaka wanatengeneza series- thamthilia Sasa kwa kweli ni nani anayependa Uchawi?

Nimewaza tu.
 
Back
Top Bottom