Dondosha series nzuri zinazohusu uchawi

Dondosha series nzuri zinazohusu uchawi

Wednesday (kali sana hii)
His Dark Materials,
First Kill,
Mayfair Witches,
Vampire Academy,
Warrior Nun,
Stranger Things,
Shadow and Bone,
Locke and Key,
Day shift,
The Invitation,

Van Helsing (kuna movie ya zamani na series, zote kali ila naipenda zaidi movie)

Resident Evil(kuna movies za zamani na kuna series mpya, zote kali)

Warrior Nun nayo imekaa kiniaje sana inabidi utulize akili
 
Midnight Texas sijui kwann waliicancel hii series kali sana, [emoji24]
Secret Circle nayo waliicancel [emoji24]
Priest,
Interview with the Vampire (hii ina Movie ya mwaka 94 na series ya mwaka 2022)
The Mummy,
Dracula Untold (i hope wataleta part 2)
From,
The Quite place,
Wrong Turn,
Merlin,

Zipo nyingi sana
Dracula untold [emoji91][emoji91] acha KABISA KIPINDI hicho na kitecno Changu nilistream YouTube mpaka saa 12
 
Dracula untold [emoji91][emoji91] acha KABISA KIPINDI hicho na kitecno Changu nilistream YouTube mpaka saa 12
Mara ya kwanza niliiangalia Cinemax, basi bwana wakati tunatoka kwenye kile kikorido kuna mjinga mmoja akatoa muungurumo mkali aisee mlango ulikua mdogo tulivyosukumana, hua nacheka sana nikikumbuka [emoji23]
 
Vampire diaries ndio nipo season two nikiimaliza naamia the originals [emoji91][emoji91][emoji91]
20230702_011948.jpg
 
Back
Top Bottom