Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Nimesha sahau ni aina ya wolf movie kama vempire diaries 🐺🐺🐾🐾Hivi the 100 ilikua ina supernatural kweli? Sio Sci-Fi na Action?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimesha sahau ni aina ya wolf movie kama vempire diaries 🐺🐺🐾🐾Hivi the 100 ilikua ina supernatural kweli? Sio Sci-Fi na Action?
Mimi nasubiri tu mpaka season 2 episodes zote zioneshwe ndio niangalieArosto ya From sio mchezo yaan najuta kuianza mapema bora ningesubiri episodes zote zikamilike, dah
Hahahaha😂😂 namimi aisee, ile ilikuwa bomba sanaWakati sijazeeka nilikuwa napenda legend of the seeker
Teen wolf 🙌🙌🙌🙌❤️🤝aisee ile ni kibokoRiverdale haina uchawi bhana
Hahahaha hata mimi nimejishangaa ingawa Merlin sio namba moja yangu, namba moja yangu ya muda wote ni Teen Wolf, sijui nimeirudia mara ngapi ile series na sijawahi kuichoka
Hiyo ni series?Arosto ya From sio mchezo yaan najuta kuianza mapema bora ningesubiri episodes zote zikamilike, dah
Movie za kichawi sizielewi.
The WitcherWapendwa habari zenu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo, naombeni mtiririshe series kali zinazohusu uchawi, vampires, warewolfs and all supernaturals. Zangu mimi naanza na;
1. Vampire diaries
2.supernatural
3. Riverdale
4. Legacies
5. Midnight mass
6. Shadow hunters
7.teen wolf
8.The originals
9. Kuna moja ilikuwa ya kifilipino ina husu wolves na vampires ya zamani kweli, nmeisahau jina
Zipo nyingi hadi zingine nmesahau majina
The 100 ninayoijua inahusu dunia ilipata janga la mlipuko wa nyuklia na kuua watu wengi, kuna wengine walinusurika na kwenda kuishi kwenye space ship, wengine walisurvive duniani,Nimesha sahau ni aina ya wolf movie kama vempire diaries [emoji191][emoji191][emoji252][emoji252]
YepHiyo ni series?
Hivi episodes zingine zimeshatoka??FAR FROM HOME
Kwenye hii series ndio nilijifunzaa kua wafanya biashara matajiri na wanasiasa ni watu wa BAD,
Jamaa anafuga fisi na ukizinguana nae anakuteka anakuweka kwenye Cage wewe na FISI....
Alafu anakwambia wewe Si kidume pambana fisi mwenye NJAA kwenye Cage.....
Ukipata wasaa iangalie....
View attachment 2622753
Bado...Hivi episodes zingine zimeshatoka??
Kuna hii series ya Yellow Jackets ni tamu sanaa,
Ila ni Thriller sio supernatural,
Wanafunzi wa high school walipata ajali ya ndege na kudondokea msituni, waliopona wakajaribu kusurvive maisha ya pale msituni maana hawakupata msaada wowote, walianza hadi kulana nyama wenyewe kwa wenyewe chezeya njaa,
Miaka 25 baadae wanaonekana wameshakua wakubwa wana maisha mengine lakini walisurvive vipi msituni? walifanya siri hawakusema, sasa kuna kitu kina wa hunt ukubwani, story ina enda kisengele nyuma ila ni nzuri sana, kila kipande unatamani kujua imekuaje, haitabiriki