Unamaliza kumchinja unakuta tangazo linasema ukimpeleka unapewa Mil 1.Huyo tayari kashawekwa kwenye vimishkaki vya jioni vile vya mia tano miatanoπ
Mmeshaonywa ya kwamba msifuge hawa Mbwa kama uwezo wako ni robo kilo ya nyama kwa siku...
πππkipaka kigongwa jioni usiku hukioni kumbe kimewekwa kwa mishkakiπ pesa imeondoa utu aiseeUnamaliza kumchinja unakuta tangazo linasema ukimpeleka unapewa Mil 1.
Hafu we umetupa kichwa, Miguu, utumbo, ngozi imebaki kilo 5 ambayo ukiuza mishkaki haizidi ata elfu 60.
ππππWE tafuta mbwa kama unaweza mengine waachie wafugaji
Ukimpata nitafute nikupatie TZS 1milWE tafuta mbwa kama unaweza mengine waachie wafugaji
Nawapa angalizo!
ππtumeingiza na mishkaki...tangazo limekuwa tangazoππEEh maana mambo yanataka kuwa mengi tena π π π