DONGE NONO kutolewa kwa atakae fanikisha kupatikana kwa Mbwa HUYU

DONGE NONO kutolewa kwa atakae fanikisha kupatikana kwa Mbwa HUYU

Inamaana tumeshindwa mpata mbwa kweli?
hatimae amepatikana
JamiiForums-1519669842.jpg
 
Sasa Anapoteaje? Basi ni boya Hana tofauti na mbwa koko
Nawapa angalizo!

Usijiroge kumkamata huyo MBWA!ni hybrid hatari sana!!

Ni mkali sana mwenye nguvu pia!labda kama mmezoeana!

MBWA aina hii ameripotiwa kusababisha mauaji duniani yaani hatabiriki ni hybrid ambayo inaanza kupigwa marufuku kuzalishwa!!
 
Sasa NG'ANG'A kama hilo unalikamataje mtaani mtaani likiwa Lina vinasaba vya SIMBA,CHUO, CROCODILE {SALTWATER CROCODILE, DWARF CROCODILE,ETC}, TYGA,LEOPARD,FISI SAMAKI AINA YA PAPA na pamoja na MAJINI wa hatari hatari waishio kwenye mapango.

Usiniletee masihara MIL 1 ni hela ila kwa HUYO MDUDU pandeni DAW

USHAURI:
KAOMBENI VIBARI TANAPA PIA MPEWE WENYE UTAALAMU WA HIVYO VITU

Sent from my V2204 using JamiiForums mobile app
 
Kwani akipatikna mwingine mweusi tofauti na huyo si napata ata laki mbili😢
 
Back
Top Bottom