Dongo lililojificha kwenda kwa wanaojiita Simba

Wakuu, hata mimi uhater najua sana sema basi tu sitaki..
Hebu tufanye hivi, nenda kasikilize huu wimbo nimeweka link hapa chini..
Sikiliza beat, sikiliza melody na angalia "plot" ya nyimbo alafu uje hapa unibishie Darasa hajacopy..

Song: Sanko
Artist: Timaya
Producer: Orbeat

Definitely right

KADA
 
beat hajakopi popote isipokuwa ilitakakuelekeana na karata dume ya afande sele
 
Wakuu, hata mimi uhater najua sana sema basi tu sitaki..
Hebu tufanye hivi, nenda kasikilize huu wimbo nimeweka link hapa chini..
Sikiliza beat, sikiliza melody na angalia "plot" ya nyimbo alafu uje hapa unibishie Darasa hajacopy..

Song: Sanko
Artist: Timaya
Producer: Orbeat

Uliza vizuri ila umeharibu kufananisha hizi nyimbo mbili, they are totally different, sio kwa flow, melody wala plot ya video. Kwenye beat ndo kuna uelekeano kidogo sana.

Rai yangu: upinzani wa diamond na kiba, usififishe akili zenu na kufanya mumchukie kila msanii. This year darassa amefanya kazi nzuri na anahitaji pongezi.
 
they are totally different, sio kwa flow, melody wala plot ya video. Kwenye beat ndo kuna uelekeano kidogo sana.

Hakuna mahali nilikoongelea plot ya video!
Labda hujaelewa, nimeandika "plot ya nyimbo"..

Nina masikio Mkuu sihitaji unisimulie, hizo nyimbo mbili zinafanana beat, melody na "plot ya nyimbo"

Alafu jiheshimu na tuheshimiane: hakuna mtu anayemchukia msanii fulani, tuko hapa kwa ajili ya kujadili kama unahisi mtu akifanya criticism ana chuki basi JF is not a place for you..
 
Uliza vizuri ila umeharibu kufananisha hizi nyimbo mbili, they are totally different, sio kwa flow, melody wala plot ya video. Kwenye beat ndo kuna uelekeano kidogo sana.

Rai yangu: upinzani wa diamond na kiba, usififishe akili zenu na kufanya mumchukie kila msanii. This year darassa amefanya kazi nzuri na anahitaji pongezi.
Nashukuru mkuu, wengine hatuna timu watuache tucheze [HASHTAG]#Muziki[/HASHTAG][emoji441] [emoji445] na [HASHTAG]#Darasa[/HASHTAG] maana mwaka huu ametukoshaaaaa
 
Hakuna mahali nilikoongelea plot ya video!
Labda hujaelewa, nimeandika "plot ya nyimbo"..

Nina masikio Mkuu sihitaji unisimulie, hizo nyimbo mbili zinafanana beat, melody na "plot ya nyimbo"
Naomba nikuulize una maanisha nini "plot ya nyimbo"? Plot ya nyimbo ni sawa na theme ya nyimbo? Naomba unijuze mkuu
 
Ayo ndo maneno sasa...sio mtu anatoa critism za kiwack zisizo na mashiko
Jifunze kuwa mvumilivu mtu anapotofautiana mtazamo na wewe!
Huwa naandikaga sana kuwa moja ya dalili ya kupevuka na kukomaa kiakili ni ustaaratabu.. Hakuna haja ya kuandika lugha za kuudhi kisa mtu ametofautiana kifikra na wewe..

Mtu akitoa hoja ukiona hoja yake haiko sawa unaweza kumpotezea au ukamjibu kwa hoja pasipo lugha za kiudhi..

Kuhusu swali lako kwamba nifafanue nina maana gani kusema "plot ya nyimbo" niseme tu kwa hii haiba yako unayoionyesha haitakuwa sahihi kwangu kubishana au kujadili na wewe.. So am not going to dignify your comment with an aswer..

Good luck!
 
Ha ha ha..kiongozi hakuna hoja yoyote ya ulichokiandika hapo awali zaidi ya kutumia hisia zako kujumuisha fikra za jamii nzima.
Napenda kukwambia tu, jifunze kutofautisha plot na theme.
 
,,kwa level ya [HASHTAG]#darassa[/HASHTAG],mnadanganya na kupotosha kusema anatafuta kiki,, mnapotosha kabisa,, kuna watu wa kutafuta kiki ila siyo darassa
Halafu kumezuka tabia sahivi,, msanii akifanya hiki utaskia anatafuta kiki wcb, akiimba vile anatafuta kiki kwa wcb,,hii mbinu potofu inaenezwa kwa speed ya light!!!!,,mnaikuza(overrate)wcb,,hatakama ni label kubwa ila haijafikia hatua ya kuitwa watoa kiki!! Mnaeneza propaganda mfu!! Tena mfu Haswaa,
Tuchukue mfano,, mtu akiimba wimbo na akaonesha kutokuvutiwa na uvaaji wa kipini basi mtakimbia hima hima kuanzisha uzi huku,, kuwa aliyeimba anataka kiki [HASHTAG]#wcb[/HASHTAG] kisa diamond anavaa kipini au hereni!! Acheni kuoverate vitu
 
Billnass billnass atawafunika wooote funga mwaka....nyie subirini
 
Ngoma nzuri sana ni muda mrefu nilikuwa sina ngoma za bongo hii nimeichukua.
 
Back
Top Bottom