Dongo lililojificha kwenda kwa wanaojiita Simba

Povu la madale hili
 
Dongo kwa simba huku kasample beat ya chambua kama karanga ambayo imerudishwa kwenye chart na Simba

Darasa ni msanii mkali naona kama yupo underrated kiasi fulani.
 
Dongo kwa simba huku kasample beat ya chambua kama karanga ambayo imerudishwa kwenye chart na Simba

Darasa ni msanii mkali naona kama yupo underrated kiasi fulani.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mbona sijasikia hiyo beat au ndiyo kibwetere kaguswa?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mbona sijasikia hiyo beat au ndiyo kibwetere kaguswa?

Sikiliza vizuri au muulize darasa mwenyewe au Mr T touch producer wa ngoma atakwambia usipende kubishia mambo ya wazi unaonekana mtoto na inaonyesha hujui chochote kuhusu music. FYI sampling kwenye music inaruhusiwa. Sikiliza vizuri huu wimbo hata mwanzoni kabisa na sikiliza Salome halafu niambie tofauti yake nini. Mimi ni shabiki wa Darasa na huu wimbo kasample salome hakuna tatizo katika hilo, kazi nzuri
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mbona sijasikia hiyo beat au ndiyo kibwetere kaguswa?

Na ubishi wako ona sasa unahaibika. Muziki hujui hata kusikiliza unashindwa, hizi team zimewaharibu akili, ni kiziwi tu hawezi kusikia kionjo cha chambua kama karanga kwenye huu wimbo mpya wa Darasa- muziki. Again, chambua kama karanga imerudishwa kwenye charts na Dayamondi na ndiyo sababu wimbo wa Darasa imependwa haraka.

Som hii link: Muziki ya Darassa ilivyogeuka wimbo wa taifa ndani ya wiki moja | Bongo5.com

Inasema "Muziki, wimbo ambao amemshirikisha Ben Pol huku kwa mbali ukikopa kionjo cha wimbo wa Saida Karoli, Chambua Kama Karanga na kupewa midundo inayokaribiana na dancehall, umegeuka kuwa wimbo wa taifa ndani ya muda mfupi. Wimbo huu umeyagusa masikio ya watu wa kila rika na wote wanaongea ujumbe mmoja – Darassa ametisha".
 

Yani nyie tofauti na Diamond hamtaki msanii mwingine yoyote afanikiwe.
 
>>>JAMAA ni zaidi ya NYOKO !!Kauwa nyoka,Simba,Chui,Tembo woote chalii >>
 
Wimbo m'baya,akajipange upya.

Jamaa una roho mbaya sana, huu ushabiki wa kitimu umeingia hadi kwa wanaume. Badala tuwasapoti wasanii wetu wafike mbali tunaanza kuleta ubaguzi wa kijinga. Kwa taarifa yako diamond anafanya vzr kwasababu ya ushindani ,ushindani ukitoweka naye anakufa.
 
Hapo MOND anaingiaje ........Mimi nimeuona m'baya na wewe toa maoni yako,unauonaje ......??
 
Hapo MOND anaingiaje ........Mimi nimeuona m'baya na wewe toa maoni yako,unauonaje ......??

Hebu jaribu kutunga wakwako mzuri, kama watu 10 wanasema wimbo ni mkali halafu wewe mtu moja unasema ni mbaya basi ngoja tukuache na uchawi wako maana mkataa cha wengi mchawi
 
We naye eti Afro school bash [emoji13] [emoji13] [emoji13] km hujui mute baba
 
Ktk post pumba hii namba moja,ommy wng wamemuelewa kuliko hao wenzio,kutomjua cyo dhambi na kwa sasa darasa yupo juu kuliko hata babu tale na crew yenu labda aje ashuke ila kwa sasa ss watz tusio na chuki tunamweka namba moja na kaja kufunika ujinga woote,nani asikie kokoro ss hv
 
Hata hueleweki kwan na ww ni msanii?
 
Km ni coppy ya salome poa tutafanya mpango tutamlipa Saida karoli ama mlitakaje akina domo[emoji13]
 
Hivi kanuni za hiphop zinakataza kuwa na skendo za wanawake uchwara?
 
Jaman, inamaana kisa wimbo uliimbwa na diamond ndo umependwa kias hicho? Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni jamani.
Huyu kijana anajituma tangu mwanzo, sio kwa sababu kuna copy ya kitu fulani cha mond. Nyimbo zake zote sijaona mbaya japo mi c mpz sana wa muziki ila napenda sana flow yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…