Dongo lililojificha kwenda kwa wanaojiita Simba

Dongo lililojificha kwenda kwa wanaojiita Simba

wanaoota mapembe ongezeni mikia,
na ukinibipu tu nakupigia,
let me make thing clear,
blablaa sitaki kusikia,
Sio simba siyo chui syo mambaa... hang'haa
Sauti yang inatosha kujingamba,
.......
Jamaa kafanya poa beat kalitendea haki
 
Ngoma kali sana, sema kuna baadhi ya mistari mimi mwenyewe naitilia shaka inawezekana katupa jiwe gizani
katupa sana yani hii ni diss track
inayowalenga wasanii wote wenye mabeef!!!
sijui bla bla sitaki kusikia
sio simba, sio chui sio mamba!!
yeye darassa ngozi yake inatosha kujigamba!
wanaoota mapembe waongeze mkia!
acha maneno weka mziki!

ni madongo yako wazi kabisa!
 
Karibu tucheze muziki[emoji445] [emoji441] [emoji445] [emoji441] [emoji445] [emoji441] [emoji445]
katupa sana yani hii ni diss track
inayowalenga wasanii wote wenye mabeef!!!
sijui bla bla sitaki kusikia
sio simba, sio chui sio mamba!!
yeye darassa ngozi yake inatosha kujigamba!
wanaoota mapembe waongeze mkia!
acha maneno weka mziki!

ni madongo yako wazi kabisa!
 
Jaman, inamaana kisa wimbo uliimbwa na diamond ndo umependwa kias hicho? Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni jamani.
Huyu kijana anajituma tangu mwanzo, sio kwa sababu kuna copy ya kitu fulani cha mond. Nyimbo zake zote sijaona mbaya japo mi c mpz sana wa muziki ila napenda sana flow yake.

Mimi ni fan mkubwa wa Darasa toka zamani na nyimbo zake zote zipo katika playlist yangu. Hapa swala lilikua ubishi wa huyu bwana anayejiita Daudi Mchambuzi kukataa kwamba hakuna vionjo vya chambua kama karanga katika huu wimbo mpya wa Darasa, sasa nimemletea uthibitisho sababu yeye anasema hasikii hivyo vionjo na kuanzia hapo siwezi ongea mambo ya music na mtu ambaye anapinga mambo ya wazi. Ikumbukwe sampling kwenye music sio kosa as long as umetoa credit kwa mtunzi
 
eti watu wanajiita Simba wengine Chui wengine Mamba ..hayo majina ya nini ?? wakati ngozi yake inatosha kujigamba .. hayo majina sisi hayatufai ..sisi tinataka Muziki..hao wanaojiita simba basi warudi utotoni..na wakishindwa kutembea basi ..sisi tutawabeba mgongoni..tena ngoja niweke Muziki..
 
Think loud..toka way back watu wanajiita simba mark malik r.I.p, sele, blue, domo few to mention bongo fleva ni zaidi ya kiba na dai
 
Back
Top Bottom