Donnie Yen hazeeki

Sidhani. Jack ndio kaaza kutoboa kimataifa kabla ya Donnie, muvi yake hasa ya Rush hour ya 1999 ndio ilimpeleka Hollywood. Lakini Donnie Yen amekuja kuingia Hollywood hasa kwenye muvi ya Star Wars: Rogue One baadae pia akacheza kwenye XxX Return of xender Cage 2017.
Chan hakua mbumbumbu kasoma sidhani kama kapigwa kiivyo. Shida yake ni English, alikua hajui kingereza kabisa. Ukiangalia Behind the scene ya Rush Hour utacheka sana
 
Sammo ni mkubwa sana ana miaka almost 80
 
Boss unajua Yen nilimuona ktk Blade ya wisely Snipes ile ya mwisho wakiwa wanamtafuta Snipes ktk tunnels..au nilikosea...lakini sidhani kama nilikosea...ingawa hakuwa main character
 
Hilo nabisha ila kwa Wakorea sawa. Kuna yule chalii aliyecheza City Hunter ndio kazi yake
Mkuu kama wewe Sura yako ndio kitega uchumi inakuingizia Pesa unadhani hautaongeza hata miaka miwili au mitatu (hata kama wewe hautaki ila kampuni zinazokumiliki lazima zitakwambia ufanye) sio hao tu Kina Arnold, Rambo, Jet Lee, Jacky Chain (hapo kabla, ingawa sasa hivi wameacha) na kwa wanawake kina Toni Braxton wote wamefanya hii kitu....

Ofcourse kwao access ipo ni sawa na wewe kupaka mafuta ili uso usipauke au kuweka blacky kwenye nywele (to look presentable) ukizingatia watu kama wanategemea waone a perfect specimen you will have to give them what they want unless ubadilike na kuanza ku-act kama mzee....
 
Kuna kitu inaitwa Millionaire Express, Wheel in Meals, Project A ni nomasana. Ila Sammo Hung ni director mzuri sana huwezi amaini ndio aliandaa kitu cha Estern Condors. Nataka siku moja nikusanye muvi zao zote maana KIX hua zinaonyeshwa mara chache
East condor hatariiii. Kuna dem flan alikuwa anatembeza ngumi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…