Don't be a nice guy

Acha mihemko wewe pinga hoja kwa hoja, kwani uongo kwamba hao nice guys mnawatumia kama kimbilio lenu mkishakua demaged.
Marufuku kuniquote na wewe nina allergy na nyie misogynist, mna hoja gani zaidi ya kuwa bitter hakuna mwanamke anayewataka
 
Hauishi peke yako mzee baba unaishi na walimwengu., lazima uji-adjust vile ulimwengu unavyoenda.

Endelea kuwa humble kwa mwanamke, you will learn the hard way.
Hivi unajua hata unachoongea ? Ngoja ni break it down..., kuna watu ambao ni humble and nice, kuna assholes na kuna actors hapo nimekupa watu wa aina tatu alafu takuongezea aina ya nne ambao ni stupid au malimbukeni

Sasa wewe ukiwa ni nice na humble eti unabadilika kujifanya lunatic ili tu upate wanawake au sijui uwakomoe ili wasikuache huo ni ulimbukeni (be yourself) and being humble is not being stupid yaani kupelekeshwa... lazima unakuwa na misimamo yako within reason..

Now if you are an asshole unajifanya humble pia huko ni kupoteza muda wako na wake sababu mwisho wa siku a river always return to its course..., ni bora uendelee na ulimbukeni wako ili kesho na keshokutwa anayekuja anajua kabisa what she is bargaining for....

Hapa moral of the story be yourself....; Be real.... not living is someone else's shoes
 
Mimi ni nice guy na nina yapenda hayo makombo tena sana nifanyacho mimi nakupa mimba napita kushoto natafuta makombo mengine mpaka sasa nina watoto wa4 na kuna wawili wana mimba.
 
Yafaa nini kuwa humble and nice katika brutal world. We are living in wrong time for those stuffs you are talking about.

Adapt or die.

Endelea kuwa humble and nice kwa wanawake, you will learn the hard way.
 
Mimi ni nice guy na nina yapenda hayo makombo tena sana nifanyacho mimi nakupa mimba napita kushoto natafuta makombo mengine mpaka sasa nina watoto wa4 na kuna wawili wana mimba.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 

Kunywa bia kwa mangi nalipia budaa…thia how man we should talk not this nonsense of be a good guy ufasala sana aisee
 
Yafaa nini kuwa humble and nice katika brutal world. We are living in wrong time for those stuffs you are talking about.

Adapt or die.

Endelea kuwa humble and nice kwa wanawake, you will learn the hard way.
Aisee Mkuu you do not get it..., watu hawapo sawa na kujifanya wewe humble wakati sio au kujibadilisha eti uwe lunatic kwa minajili kwamba dunia ndivyo ilivyo ni kuwa myopic to say the least..., Be Real Be Yourself stop acting sababu acting inakugharimu sana unakuwa unaishi maisha ambayo siyo yako (ukiishi maisha yako kwa mapenzi yako unakuwa na peace of mind)

Life is simple ni watu ndio wanai complicate
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…