Don't be a nice guy

Wewe mbona una kichwa kigumu, sijasema uwe lunatic nimesema adapt. M-treat mtu kwa jinsi alivyokuja kwako. Sasa limwanamke lishachezewa uko, lishaalibu kizazi abortions pills, si ajabu halina bikira hata moja halafu wewe ulichukue tu ilo limwanamke ulioe eti you are nice and humble, acha ufala mzee baba.
 
Huo msimamo hata maferminist na wanajiita wapambanaji sijui malkia wa nguvu wote watasalimu amri 😀😀
 
Wewe mbona una kichwa kigumu, sijasema uwe lunatic
Hivi unajua hata opposite ya nice guy ni a jerk ?
nimesema adapt. M-treat mtu kwa jinsi alivyokuja kwako.
Na mimi nakwambia be yourself with your own principles usibadilike sababu ya mtu kama mtu ataona hawezani na wewe atachukua hamsini zake kuliko ku-pretend something which you are not
Sasa limwanamke lishachezewa uko, lishaalibu kizazi abortions pills, si ajabu halina bikira hata moja halafu wewe ulichukue tu ilo limwanamke ulioe eti you are nice and humble, acha ufala mzee baba.
Kwahio being nice guy ni kuchukua mwanamke aliyechezewa ? Na kama mtu kampenda huyo mwanamke na yeye anajua anachopata kwake who are we to judge (au hio pilipili inatuwasha vipi sisi kama muhusika ndio anaona amefika)? Na unadhani ukichukua bikra n.k. ndio kesho au keshokutwa hawezi kubadilika ? Au ukiwa rude kwake ndio atabadilika kutoka kuwa shetani na kuwa malaika ? The mere thought kwamba unaweza kumbadilisha mtu au kum-control makes me wonder if you are talking about people (au women in this case) au unaongelea preprogramed robots kama yule Eunice aliyepelekwa Bungeni...
 
You are a dream of all demaged women.

Endelea kuwa nice and humble kwa wanawake, you will learn the hard way.

I rest my case
 
You are a dream of all demaged women.
Damaged.., and how did they happen to be damaged ? By meeting nice men ? Or the opposite is what made them damaged in the first place ?
Endelea kuwa nice and humble kwa wanawake, you will learn the hard way.

I rest my case
Does not matter what my personality is.., I am just myself and will neither act nor change for anyone... My point is be real don't pretend to be someone else, even if your are a jerk just continue being a jerk you will meet other jerks with whom you are compatible...
 
Mnashindwa kujua kwamba kujitunza kwa wanawake ili wabaki na hizo bikira zao kutamaanisha na wanaume nao itabidi wajitunze, kwa sababu wanawake wote wakisema wajitunze hadi ndoa basi wanaume watakosa wanawake wa kufanya nao kabla ya ndoa sasa ninyi kujitunza hamtaki, mkiambiwa subirini hadi ndoa mnajifanya eti hamtaki kuuziwa mbuzi kwenye gunia halafu leo hii mnataka bikira sasa hizo bikira zitoke wapi mbona ni kama ninyi wenyewe tu hamjui au hamko tayari kufuata hicho mnachokiadvocate
Is there any thing your young brothers can learn from these paragraphs??
Wanaweza kujifunza kutokuwa playboys (kutochezea wanawake), ili utakapofika wakati wao wa kuoa wasianze kutukana wanawake, kwamba hawajitunzi na hawajiheshimu na siyo wife material
Huo msimamo hata maferminist na wanajiita wapambanaji sijui malkia wa nguvu wote watasalimu amri 😀😀
Aiseee mimi natamani sana muanze huo msimamo tena ikiwezekana mfanye na conference kabisa kama ile ya beijing iliyohusu feminism halafu mwisho wa siku mbivu na mbichi zitajulikana, fanyeni yote mnayoyajua ila kitu kimoja ambacho nawahakikishia ni kwamba wanawake kamwe hawatakaa warudi kuwa kama bibi zetu lije jua ije mvua mpaka siku wanaume mtakapokuwa tayari kubadilika, vinginevyo endeleeni kufarijiana na kuwatukana wanawake hadi mwisho wa dahari mkidhani eti mnawakomoa na kwamba ndio watabadilika ilihali alama za nyakati zinaonesha wazi ni wapi tunapoelekea
 
Huyo ni Simp utamuelewesha ila yeye ana ng'ang'ania mfupa usiowezekana. Anachojua yeye ni kuwa mjinga kwa mwanamke ni deal.
 
You are a dream of all demaged women.

Endelea kuwa nice and humble kwa wanawake, you will learn the hard way.

I rest my case
Huyo ni Simp with Passion. Wa hivyo ndio wamendaliwa kuja kuwapokea masingle mother na wale wanawake wanaochezea muda wao kwasasa.
 
Haya chukua zawadi yako nenda kawatumikie single mothers na wasimbe. Sisi wala hatuna haja ya kukubadilisha wala kutaka uwe tofauti.
 
Watoto wa kishua bwana. Wewe unakula bure na kulala kwa hisani ya wazazi unahisi na wenzako wana privilege kama zako.

Kuna wenzako huku ground akivunja ungo tu familia yake inaanza kumjengea mazingira atafute pa kwenda maana hawana uwezo wa kumtunza wanataka akaanze maisha mapema apate mwenza wa kumtunza kabla umri haujamtupa.

Sasa wewe unahisi maisha yanakwenda kama kwenu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Weeeee ogopa ngosha[emoji23][emoji23][emoji23]

Anyways wanaume wameshaamua sasa na hali ndio kama unavyoona kwa sasa idadi ya single mothers inakuwa kwa kasi meaning wanaume wanachagua wanawake serious wa kufanya nao maisha sio yoyote yule. Ukileta ujuaji unapambana na hali yako.

Sasa wewe unakuja kuongea idea zako za kudownload kichwani kubabake haujawahi hata kujua bei ya chumvi ni bei gani, little girl go and change your diapers moma is calling you.
 
Mwendawazimu kumbe..
@Anita Makirita tumalize tofauti zetu, mwenzako nikisoma comments zako napata hisia za kukujali halafu nakuwa nakuonea aibu fulani hivi kama vile ndio natokea demu kwa mara ya kwanza kipindi nipo primary, hivi hatuwezi kuongelea hili swala wawili tu. I promise i'll be kind. I think i feel something kila nikisoma comments zako my dear,hebu kuwa na uvumilivu kunielewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…