Don't be a nice guy

Natafuta Ajira umefuatilia kisa cha mjane wa Kobe Bryant na familia ya Kobe?

Mtu unaweza kuwa na kipaji,umaarufu na pesa za kutosha ila ukashindwa kuchagua mke sahihi na familia yako ikaja kuteseka sana mbeleni na yeye akiwa sehemu ya sababu.
Kiukweli sikuwahi kufatilia nimelazimika kwenda kupekeua mtandaoni. Mwanaume ukikosea kuoa ni hatari sana familia ya marehemu mzee mengi ilibaki kidogo ipigwe kitu kizito na klyn
 
Hizi romantic movies hazina maana yoyote maana huko kwemye romantic movies ndio pengine ndoa hazidumu na usaliti ni mkubwa.

So utaona kabisa mambo ya romantiki hayana maana
Mimi nikiona mwanaume analeta mambo ya uromantic hadharani kama kumbebea demu pochi huwa namdharau sana, yaani siku nitayomuona mdogo wangu anafanya huo ujinga namtandika makofi
 
Kua nice guy au bad boy sio muonekano bwana ni character
 
Nyie mnaosambaza lugha ya chuki dhidi ya wanawake sijui mna matatizo gani, embu deal with your frustrations first..una miaka mingapi, girlfriend/mke wako ana miaka mingapi...was she used and dumped first ndio ukawa nae?
 
Kiukweli sikuwahi kufatilia nimelazimika kwenda kupekeua mtandaoni. Mwanaume ukikosea kuoa ni hatari sana familia ya marehemu mzee mengi ilibaki kidogo ipigwe kitu kizito na klyn
Acha kabisa kisa cha Mke wa marehemu Kobe ni funzo kwa wanaume wabishi ambao unakuta mwanamke unayetaka kumuoa familia yako haimtaki, ila wewe kwa kiburi chako unaamua kumuoa hivyo hivyo kwa kigezo cha kwamba eti unayeenda kuishi nae ni wewe na sio wao.... siku ikitokea umefariki familia yako haiambulii chochote kile kwenye assets ulizoacha.

Kobe Bryant mpaka anafariki aliacha ukwasi wa $400m(yaani utajiri wa zaidi ya trillion moja) zikiwemo mansions za kutosha karibu kila state huko Marekani, na mali zote hizo ziko chini ya mjane wake.

Leo hii familia ya kobe inaangaika mpaka sehemu ya kuishi na ina madeni kibao imefikia hatua mpaka wanataka kuuza moja wapo ya zile rings alizoshinda kipindi bado anakipiga NBA(yenye thamani ya $150k) hili walipe madeni..... sasa mjane wake kuskia hivyo amewaijia juu na kuhoji kwanin wauze ring ya marehemu mume wake ambayo ni kumbu kumbu muhimu kwa familia yake, na wakati hapo ameshindwa kuwasaidia kabisa!

Na pia huyo huyo mjane wake unaambia kuna baadhi ya nyumba alizoachiwa na Kobe amewakabidhi ndugu zake wanaishi wakati huo familia ya kobe haijaambulia chochote kile... aisee yule mwanamke ni mtu mwenye roho ngumu sana.
 
Nyie mnaosambaza lugha ya chuki dhidi ya wanawake sijui mna matatizo gani, embu deal with your frustrations first..una miaka mingapi, girlfriend/mke wako ana miaka mingapi...was she used and dumped first ndio ukawa nae?
Wanawake mmeweka standard zenu mnazozitaka kutoka kwa mwanaume na standard mojawapo ni hela sasa na wanaume tunapoweka standard zetu tunazozitaka kutoka kwenu basi kuweni wapole.

Unafikiri wanaume broke mnaowadhalilisha kwa kuwaita marioo, dume suruali n.k wanapenda? Wanachosambaza ferminists ni nini kama sio chuki, jeuri na kisasi dhidi ya mwanaume, mbona hamuwakemei wanawake wenzenu?

Hakuna chuki yoyote tunayosambaza mmeweka standard zenu na sisi tunaweka standard zetu.

The game is brutal but it's still fair.
 
Visa kama hivi ni case studies nzuri sana kwa vijana ambao bado wanaamini women are innocent people.
 
Hujanijibu hizo standards na wewe umejiwekea ...? Kama uko above 27 years umeoa unadate chances una mwanamke ambae yuko used,kwa mujibu wa standards zako, sasa kuleta topic kama hii ni kuzunguka mizungu, stop wasting your time hata hao bad boys ikifika time wanasettle na wanawake hao hao ambao wako used, hii topic ni wewe misogynist unasambaza chuki zako hamna lingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…