Don't dare kutoka na single mother kama akili zako timamu

mwanyaluke

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2015
Posts
704
Reaction score
2,435
Aisee hawa watu sio kabisa, nilikuwa najifariji kwa single mother mmoja,as time goes nikawa naanza kumuelewa, naona kama mbona ana vision, basi nikajikuta Nina hisia naye full.

Kwanza nilishamuliza una mahusiano gani na mzazi mwenzio , *akanijbu hamna kitu Sasa Leo picha limeanzaje, nimeaga home nimesafiri, kumbe naenda jificha hotelini, sasa nipo hotel, nimemtoa bar, nimemchukulia Bavaria, nimerudi room hoteli nianze kula mzigo, kaniomba ngoja nimpigie mother aisee kwenye mazungumzo na mother yake, si mother anamwambia Juma anakutafuta umtumie picha ya mtoto, anajibu nitamtumia nikisijikia, aisee nahisi bia zimekata, so acha amalize kuongea na simu, mimi nimeshatoka nje, akimaliza kuongea atafute boda, mimi nilishawasha gari kitambo.
 
Hizi hasira Utafikiri ulikuwa na mpango wa kumuoa.
 
single mother alifanya nianze kuvuta bangi
 
Kwahiyo ulitaka wasiwasiliane wakati wamezaa??
Kupiga mashine tu, kuoa aaah
Huu ndio usenge ambao hakuna mwanaume mwenye akili timamu anaweza uvumilia. Yaan uwe kwenye mahusiano uruhusu mwenzi wako aendelee kuwasiliana na mtu wake wa zamani haijalishi wamezaa au laa. Ndio maana wanasema kumuoa single mother hakikisha umeona kaburi la mzazi mwenzie.
 
Jirani kwema? Mbona unaporomosha mitusi??
Singo maza walikupiga na kitu kizito? 😹😹😹

Halafu emu acheni gubu na singo maza, utashangaa wewe mwenyewe toka utoto hujawahi kuiona sura ya baba yako mzazi, zaidi ya anko wako ambaye hajazaliwa tumbo nyumba moja na mama yako.!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…