mwanyaluke
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 704
- 2,435
Aisee hawa watu sio kabisa, nilikuwa najifariji kwa single mother mmoja,as time goes nikawa naanza kumuelewa, naona kama mbona ana vision, basi nikajikuta Nina hisia naye full.
Kwanza nilishamuliza una mahusiano gani na mzazi mwenzio , *akanijbu hamna kitu Sasa Leo picha limeanzaje, nimeaga home nimesafiri, kumbe naenda jificha hotelini, sasa nipo hotel, nimemtoa bar, nimemchukulia Bavaria, nimerudi room hoteli nianze kula mzigo, kaniomba ngoja nimpigie mother aisee kwenye mazungumzo na mother yake, si mother anamwambia Juma anakutafuta umtumie picha ya mtoto, anajibu nitamtumia nikisijikia, aisee nahisi bia zimekata, so acha amalize kuongea na simu, mimi nimeshatoka nje, akimaliza kuongea atafute boda, mimi nilishawasha gari kitambo.