Don't dare kutoka na single mother kama akili zako timamu

Don't dare kutoka na single mother kama akili zako timamu

Muweke ndani ili aendelee kukupa yote, kisha utaona rangi halisi.
Mie nataka single maza msema kweli aniambie tuu kuwa mzabzab tutapiga threesome na bby daddy...huyo naweka ndni lakini hawa wanasema oh mie bby daddy siwezi mpea mbushsu tena najua kabisa huyu muongo.
Mie kushare mbususu na bby daddy wala sie ishu
 
Aisee hawa watu sio kabisa,, nilikuwa najifariji kwa single mother mmoja,as time goes nikawa naanza kumuelewa, naona kama mbona ana vision , basi nikajikuta Nina hisia naye full. Sasa picha limeanzaje nimejikuta nipo hotelini, mara ngoja kaniomba ngoja nimpigie mother aisee kwenye mazungumzo na mother yake si wanaongelea baba wa mtoto amemtafta atumiwe picha yake ,sijui nini ahh hapa nimetoka nje nawasha gari naenda kwangu , usenge huu
Acha hasira kumbuka hasira hasara kwenda kwenu hakuondoi ukweli kwamba aliyemzalisha ametaka picha yake aone namna ulivyompendezesha ili kesho na kesho kutwa amtafute akambandue huku wanakutukana hapo lazima ameshakula vyako cha msingi mshughulishe halafu m-dump kama roba la mavi.
 
Jirani kwema? Mbona unaporomosha mitusi??
Singo maza walikupiga na kitu kizito? 😹😹😹

Halafu emu acheni gubu na singo maza, utashangaa wewe mwenyewe toka utoto hujawahi kuiona sura ya baba yako mzazi, zaidi ya anko wako ambaye hajazaliwa tumbo nyumba moja na mama yako.!!
Jirani kwema, Mimi namshukuru Mungu nimekua ndani ya familia ya wazazi wawili nikimuona baba yangu mzazi wakiwa pamoja na mama yangu mzazi. Na ndoa yao ilifungwa 1967.

Kama single mom niwema na watu bora mshauri kaka/mdogo wako aoe mmoja wapo jirani.
 
Aisee hawa watu sio kabisa,, nilikuwa najifariji kwa single mother mmoja,as time goes nikawa naanza kumuelewa, naona kama mbona ana vision , basi nikajikuta Nina hisia naye full. Kwanza nilishamuliza una mahusiano gani na mzazi mwenzio ,*akanijbu hamna kitu Sasa Leo picha limeanzaje ,nimeaga home nimesafiri , kumbe naenda jificha hotelini, sasa nipo hotel, nimemtoa bar ,nimemchukulia Bavaria, nimerudi room hoteli nianze kula mzigo, kaniomba ngoja nimpigie mother aisee kwenye mazungumzo na mother yake,si mother anamwambia juma anakutfta umtumie picha ya mtoto,anajibu ntamtumia nikisijikia ,aisee nahisi bia zimekata, so acha amalize kuongea na simu ,mimi nimeshatoka nje , akimaliza kuongea atafte boda ,,mimi nilishawasha gari kitambo , usenge huu
Sasa baba wa mtoto asitumiwe picha?
 
Alibeba damu ya mtu kwa miezi 9 alafu we mpiga nyeto unataka uwaachanishe

alafu mwenzio anatambulika ukweni
Alibeba damu ya mtu kwa miezi 9 alafu we mpiga nyeto unataka uwaachanishe

alafu mwenzio anatambulika ukweni
Si ndio maana nimemwacha hotelini,manina yule aendelee na huyo kibarua ,
 
Jirani kwema, Mimi namshukuru Mungu nimekua ndani ya familia ya wazazi wawili nikimuona baba yangu mzazi wakiwa pamoja na mama yangu mzazi. Na ndoa yao ilifungwa 1967.

Kama single mom niwema na watu bora mshauri kaka/mdogo wako aoe mmoja wapo jirani.
😹😹😹😹 Nitamshauri aunt yangu aolewe na wewe jirani yangu.!!
 
Back
Top Bottom