DON'T DRINK AND DRIVE=usinywe na kuendesha pombe?

DON'T DRINK AND DRIVE=usinywe na kuendesha pombe?

Teamo

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2009
Posts
12,271
Reaction score
1,052
WAKUU!
Udhaifu mkubwa umejionyesha kwa watanzania 'WAZAWA' katika utumiaji wa lugha yetu ya kiswahili.

kumekuwa na kamtindo ka kuitafsiri lugha ya kingereza MOJA KWA MOJA KWENYE KISWAHILI,bila kuzingatia MAANA HALISI YA KAULI HUSIKA.

MFANO HALISI NI kichwa cha habari cha hii mada.nimesikia katika moja ya redio kubwa hapa dar,wakiichukua tafsiri ya DON'T DRINK AND DRIVE kwa kusema USINYWE NA KUENDESHA GARI.

wengine husema:

1)AT THE END OF THE DAY=MWISHO WA SIKU,which is not practically true.

2)......................................


3)..........................................

karibuni tujaribu kuweka wazi makosa kadhaa ili tuinusuru lugha yetu
 
Central Police -> eti wanaita Kituo cha kati, aibu,,,mpytuu,bora niteme mate, nahisi kichefuchefu.
 
Wakuu hapo juu mmetoa mifano ila hamjatupa matumizi sahihi ni yapi, mifano hiyo ya central police, at the end of the day etc tafsiri yake kwa kiswahili fasaha ni nini???? sio kutoa makosa harafu hakuna suluhisho wala maoni, kama kuna mtu anajua aeleze ili wanajamii hapa jamvini waweze kujifunza.
 
karibuni tujaribu kuweka wazi makosa kadhaa ili tuinusuru lugha yetu

Geoff

Shida kubwa kabisa inaonekana kwenye HEADING ya

thread hii. Kabla ya kuendelea, hebu uisahihishe, then

tusonge mbele...[usinywe na kuendesha pombe]

*&$#@
 
word corrupted translation proper translation

breaking news habari zilizovunjika kukatisha taarifa
 
DON'T DRINK AND DRIVE kwa kusema USINYWE NA KUENDESHA GARI.

Maneno mengine huwezi kuyatafsiri mojakwamoja, kwa mfano DON'T DRINK AND DRIVE inamaanisha USILEWE NA KUENDESHA GARI
 
Back
Top Bottom