Teamo
JF-Expert Member
- Jan 9, 2009
- 12,271
- 1,052
WAKUU!
Udhaifu mkubwa umejionyesha kwa watanzania 'WAZAWA' katika utumiaji wa lugha yetu ya kiswahili.
kumekuwa na kamtindo ka kuitafsiri lugha ya kingereza MOJA KWA MOJA KWENYE KISWAHILI,bila kuzingatia MAANA HALISI YA KAULI HUSIKA.
MFANO HALISI NI kichwa cha habari cha hii mada.nimesikia katika moja ya redio kubwa hapa dar,wakiichukua tafsiri ya DON'T DRINK AND DRIVE kwa kusema USINYWE NA KUENDESHA GARI.
wengine husema:
1)AT THE END OF THE DAY=MWISHO WA SIKU,which is not practically true.
2)......................................
3)..........................................
karibuni tujaribu kuweka wazi makosa kadhaa ili tuinusuru lugha yetu