Don't fear Kenyans, President Uhuru Kenyatta tells East Africans

Nawashangaa hawa bandugu wa dunia ya kwanza wanakuja kuganga njaa Tanzania ambayo kwa maneno yao ni nchi ya mwisho duniani kwa maendeleo. Tuwacheni basi na umasikini wetu kwani mlitusaidia nini kama sio dhuluma?
 
Hivi Kenya hakuna blog ukapeleke hizi promo za Kenyatta?Hakuna anayewachukia, Hamkutumwa kwend ICC mmeenda wenyewe, kwani hakun aaliyewalazimisha kukatana mapanga,.Chest Beating zenu za kishamba zimezoeleka Africa nzima, nyie ni debe tupu.heri humble Tanzanians.

Ukiwa hohehahe huwezi kuchagua pa kwenda, ndio maana kutwa kucha mmejaa disaster zones. Naona Kenyatta anawajulia kweli, mtapigwa miradi ya mpango mkakkati hadi awamu ya pili inaingia, halafu atawaambia sasa mkinipa kura nitamalizia miradi. WAKATI pesa hana. Athari kubwa ya uhohehahe ni ndoto za mchana.Hili jukwaa naona mmeamua lijae ndoto.

Kila la heri, naona hauna jipya, topic imetoka kuongelea AJIRA za bwana Kenyata imehamia kwenye miradi mbuzi, isiyo na mbele wala nyuma in the name of useless PR.

tragerdy of the commons.

Waanzilishi wa Jamii Forums walitengeneza Kenya sections, mahali ambapo huwa tunapost na kujadili mambo ya Kikenya, tatizo walisahau kuweka vigezo kwa nyie mnaohamia huku. Ilifaa wangeweka tahadhari kwamba kabla uonyeshe pua mahali Wakenya walipo hakikisha unajielewa na una uhakika na unachokisema, maana Wakenya tuna mazoea ya kuhoji na kudadisi na tunafata neno kwa neno. Naona siku nyingi umejaribu zile tricks zako za kuandika riwaya nzima ukidhani utaficha upum.bavu humo ndani. Ila tunakuumbua tu, tena neno kwa neno na hapabaki kitu.

Ukome sana, Wakenya ni moto wa kuotea mbali, hata kama wachache lakini wanazua joto linalotetemesha. Ndivyo tulivyo, tunakubana tu. Na hii iwe funzo kwa wengine, ukija kujadili na Wakenya, hakikisha umefanya utafiti na kusoma unachotaka kuongea kuhusu, bure utaumbuliwa halafu ubaki kutusi.
 
...maana Wakenya tuna mazoea ya kuhoji na kudadisi...
Hivi wewe huoni aibu kujitwika sifa usizokuwa nazo? Na kama wewe ndio mwakilishi wa wakenya na huku ndio kuhoji na kudadisi basi wakenya kazi wanayo!
 
Hakuna mwakilishi wa Wakenya, kila mmoja wetu huja JF kwa madhumuni yake mwenyewe, lakini ukilianzisha na Mkenya, hakikisha una ufahamu wa ndani wa unachoongea kuhusu. Bure utaanza matusi muda usio mrefu ukibanwa.
 
Naona unasumbuka peke yako hapa JF, kwa sababu wakenya wenye akili zao hawana muda na upuuzi kama huu.
 
Samahani nilijisahau sikujua ni wewe, kawaida huwa huna lolote na nitapoteza muda nawe, kwaheri.
 
Waanzilishi wa Jamii Forums walitengeneza Kenya sections, mahali ambapo huwa tunapost na kujadili mambo ya Kikenya, tatizo walisahau kuweka vigezo kwa nyie mnaohamia huku. Ilifaa wangeweka tahadhari kwamba kabla uonyeshe pua mahali Wakenya walipo hakikisha unajielewa na una uhakika na unachokisema, maana Wakenya tuna mazoea ya kuhoji na kudadisi na tunafata neno kwa neno. Naona siku nyingi umejaribu zile tricks zako za kuandika riwaya nzima ukidhani utaficha upum.bavu humo ndani. Ila tunakuumbua tu, tena neno kwa neno na hapabaki kitu.

Ukome sana, Wakenya ni moto wa kuotea mbali, hata kama wachache lakini wanazua joto linalotetemesha. Ndivyo tulivyo, tunakubana tu. Na hii iwe funzo kwa wengine, ukija kujadili na Wakenya, hakikisha umefanya utafiti na kusoma unachotaka kuongea kuhusu, bure utaumbuliwa halafu ubaki kutusi.

Wewe Umekuja JF baada ya wengine humu kuwepo kwa muda mrefu hadi watoto wamezaliwa na kuanza kwenda shule,ilipoanzishwa, inawezekana hata kusoma na kuandika ulikuwa hujui.
JF ya wakati huuu imejaa vichwa maji kama nyie, na sio hichi kijisehemu cha kenya tu, ni karibia sections zote, millenials ni vurugu tupu. busara ni kuwaacha wakizodoana.
Ukitazama vizuri kila mada unaanzisha ili iishie kwenye huu upuuzi uliouandika. Nilishakuambia siku nyingi, na nimechoka kurudia,Wewe na wenzio wachache humu hamna lolote unaloweza kusema kuzidi uelewa wangu kwenye vitu ninavyovihafamu. Na sio kuwa najisifia,I have proven that beyond reasonable doubt.And that is just me, KIMWERI.mmezoea, kupiga mayowe kujisifia kwa vitu msivyo navyo, mkitegemea, wa-TZ wanyamaze, Najua hampendi nikiwajibu kwa kuwa ninawa-expose kwenye u fraudster wenu, kama yule tapeli, aliyejifanya amewahi ishi BJ,au yule Engineer wa kimataifa asiye na kigezo hata kimoja cha kimataifa, au nyie matapeli mnaojifanya mnaijua dunia wakati mbali mlikowahi ishi ni Tanzania kutafuta vibarua.I am good at things am good at, and i am not shy to lay it down to you, call it boasting but i back what i say, beyond reasonable doubt, wewe na wenzio kazi kupiga kelele wee, mkiulizwa swali moja, mnakimbilia Google, which ends up exposing your sorry ignorances more.

Hadithi za sisi wakenya moto wa kuotea mbali ndio utoto wa high school leavers ambao fair minded individuals will not tolerate.AM 100% sure kuna wakenya humu ndani are very annoyed by your endless stupidity.it's as if you are on a mission to embarass every level headed Kenyan reading JF.

I write more, kwa kuwa am used to write more, i can do a 20,000 words report in a few hours kwa kuwa what i write comes from my head, not from Google.That's the difference.
Tatizo, i can write a lot expanding on issues, not replying to a high schooler with over-abundance internet,and nothing to do with it.Proof of this ni hii mada. Mada inahusu KENYATTA kutoa kauli kuhusu hofu ya wakenya kukosa ajira kwenye nchi nyengine EAC, wewe unaleta hadithi za sisi wakenya moto wa kuotea mbali.
Yani wewe Raisi wako anashindwa kutengeneza ajira za kutosha nchini mwako hadi akawanadi kama mitumba kwenye nchi za wenzenu wewe unasifia.itafikia siku mtaambiwa nendeni TZ kulipwa mishahara mtasifia pia.Hakuna Raisi duniani anayesifia Raia zake kupata ajira nchi za wenzake, labda awe punguani na anaongoza hamnazo.
Kazi kubwa ya Head of State ni kutengeneza AJIRA nchini mwake, sio kutegemea NCHI ya mwenzie, itengeneze ajira halafu apeleke JOBLESS wake.The fact that unasifia lowest of the lows kama hizi, inaonesha ni jinsi gani hujielewi, wala hujitambui.

Sayonaraa.
 
Haijalishi ni lini nimeingia JF, cha msingi ni umuhimu wa ninachosema. Watu kama wewe ndio mnaiharibu JF kwa kuleta siasa zenu ndogo humu. Haswa wewe huwa una matatizo ya kutowaskliza wenzio, nimesoma mijadala yako hata na Watanzania wenzio, wengi mimi huona waki-give up maana you've a useless ego ambayo inakuzuia kusoma anachosema mwenzio.
Lazima unawachosha sana watu wanaosoma hizo "reports" zako, too many words while saying way too little. You get carried away and type words after words and fail to notice you're becoming irrelevant.

About Uhuru in this thread, like I said, you don't read, you're a terrible debater. Read the news again and again and until you understand what's in the article above, I won't debate with you on this topic anymore because you're a waste of time.
 
Ukome sana, Wakenya ni moto wa kuotea mbali, hata kama wachache lakini wanazua joto linalotetemesha. Ndivyo tulivyo, tunakubana tu. Na hii iwe funzo kwa wengine, ukija kujadili na Wakenya, hakikisha umefanya utafiti na kusoma unachotaka kuongea kuhusu, bure utaumbuliwa halafu ubaki kutusi.

maina vp kujisifu kwa vitu vya kijinga kama "mwana mwali" wa kimombasa?!.
 
Mkuu,
Hawa wakenya ukosefu wa ajira umewafanya wawe JF residents, wakijaribu njia ya ku-release stress zao.

brother kimweri you deserve my respect sir,you have always been the master and vanquisher to jf kenyans.whenever they see your ID,they become mentally/physically weak.kizungu upo sawa,kiswahili ndio usiseme tena unakijua hata kile cha kihuni,posts zako ni shedaaaa!,ni mawe mazito.no wonder why they hate you.keep it up bro.
 
really, just cause we are silent, doesn't make your Tanzanian intellectuals giants, the content you discuss herein most often than not is kindergarten grade..

honestly speaking, lawmaina78, waltham, @hyubosh & other level headed Kenyans are doing a great job suppressing the amount of Chaff u Tanzanians throw at us.

and they aint alone, theres an amada of Kenyans willing to engage but owing to the dearth of intellectual capacity portrayed by our southerners, one wonders what's the point of engaging to begin with.

am waiting for your resident buffoon to spell check my lingo...
 
Last edited by a moderator:
brother kimweri you deserve my respect sir,you have always been the master and vanquisher to jf kenyans.whenever they see your ID,they become mentally/physically weak.kizungu upo sawa,kiswahili ndio usiseme tena unakijua hata kile cha kihuni,posts zako ni shedaaaa!,ni mawe mazito.no wonder why they hate you.keep it up bro.

Halafu kaka umeanza kupoteza grammar, jaribu kuboresha punctuation zako. Yule mwehu wa kuangalia lugha Askari Kanzu mbona huwa anawakaushia.

Yaani kama kweli huwa mnatishwa na mbwembwe za huyu Kimweri, then bado kazi sana kwa Wabongo. Mara ya kwanza kweli hata mimi nilidhani ni msomi, haswa kile kipindi walijadili na mekatilili lakini alipoendelea posts kadhaa nikagundua hamna kitu. Hupenda tu kujaza maneno mengi yasioendana halafu na siasa za kutaka tu bora ashinde. Tatizo Wabongo hampendi kusoma, sasa mkiona ameandika riwaya, mnatishika kweli na kuona jamaa kiboko. Lakini ukisoma neno kwa neno utaona jinsi huwa incoherent and irrelevant.

Kama nilivyosema, mara nyingi nikiona Mbongo amekuja huku upande wa posts za Kikenya, mimi hufuata kwanza posts zake kule za Kitanzania na kuona jinsi alivyo. Kunao Wabongo mimi huwa nawaheshimu sana hata ukisoma analysis zao kwenye posts za Kitanzania, ila ni wachache sana na hudhihirisha kweli ni wasomi wenye uwezo wa kufikiri.
 
Last edited by a moderator:
brother kimweri you deserve my respect sir,you have always been the master and vanquisher to jf kenyans.whenever they see your ID,they become mentally/physically weak.kizungu upo sawa,kiswahili ndio usiseme tena unakijua hata kile cha kihuni,posts zako ni shedaaaa!,ni mawe mazito.no wonder why they hate you.keep it up bro.

you are so childish buddy. let me give my 2 cents rafiki.I do not respond to debates I consider porojo na ushabiki. huwa naingia mijadala inayoeleweka na inaleta natija kwa wanaJF. Mara tu ideas za kiupuuza zanaanza kutembezwa hazwa huwa ni kazi ya hawa wenzetu wa tz, nakaa kando. pili fikira kama zako ni utoto mtupu kuwa wakenya na watz tupo kwa mashindano, upuuzi huo. hapa ni kujadiliana nipate yaliomema toka tz naye mtz vile vile. kama upo kwa mashindano na wakenya hapa jf, naona utasubiri sana................
 
Ha.. Resident buffoon na mwehu? You guys are on a roll
 
Hehehe! Ukiambiwa hizi borders ni imaginery lines zilizochorwa na wazungu miaka 120 iliyopita huwezi amini kuwa ngozi nyeusi mpaka leo hii karne ya 21 inatoa povu hivi kuhusu hili swala!!

Its a shame the mental chains that wazungu have been able to maintain on us unto this day and age much more in the so called "wasomi wetu!"

I am a "Tanzanian" lakini many a times I feel ashamed though I understand the fear that my country men have of "Kenyans". Jamani hao watu ni kizungu tu hasa hasa, wasi watishe hivyo. Na badala ya kuwaogopa ni sisi ku pull up our socks tuwe more aggressive!

Sio siri, tunawaogopa, sababu wenzetu ni go getters sio bla blah. Wakiona fursa, kweli wanaikamata na hii ni kutokana na wao ku embrace capitalist system kabla yetu.
Tunawaogopa sababu wenzetu wamekomaa na elimu yao sio sisi na akina mulugho!

Sisi kupata maendeleo ya ukweli hakutaletwa na kujikomba kwa mareakni,ulaya,china wala russia ila kutaletwa kwa kushirikiana waafrika wenyewe na kujitoa kwenye hili dimbwi la umaskini.

Unless we unite as Africans, tuachane na hizi colonial mentallity za nchi yangu na nchi yako kwa kweli the future is very bleak! Utanzania,ukenya,uganda urwanda e.t.c. uliwekwa na mzungu jamani kutudumaza. Sisi tunavyoendelea kuutukuza, kugomabana,kutukanana na kuuona wa maana ni muendelezo wa principle ya divide and rule walioweka wakoloni kutukandamiza na kuzuia maendeleo.

Ndio maana kuanzia zamani mapaka leo hii, visionary leaders wanaotaka kuleta umoja Africa wanapigwa vita na ulaya vibaya sana. Sina haja ya kwenda kwenye historia ila hata sasa tulipo mnaona. Kagame na Kenyatta wata andamwa na visa mia kidogo na vikwazo elfu, lakini mtu kama Kikwete eti anapewa tuzo ya kiongozi bora Africa! Hivi kweli hata yeye unafikiri anahisi anastahili hilo? Lakini ni tactics hizo hizo za kuanzia enzi za biashara ya utumwa hadi leo. Machief wanapewa kioo na kubadilishana na almasi na binadamu. Leo hii kiwkete anapewa zawadai anawageuka ndugu na majirani zake na kutoa migodi.

Its a big shame.

Watanzania wenzangu, badala ya kuzuia muungano kwa hofu ya kupiywa sijui, lets not be coward, tuwapelekwni watoto wetu shule nzuri, tusikubali ubabaishaji kati sekta zetu za serikali na binafsi mbona tutaweza tu.

Sasa leo hii hadi mrwanda ana confidence hatari kuliko mbongo, naongea na jua sababu nina hudhuria international na regional conferences kibao. Wenzetu wameletwa kutokana na expertise zao, sasa kutana na mbongo yeye kacheza mchoro aje avute per diem. Naongea ukweli, na bila ku ukubali ukweli hatuta rekebishika.

Sawa, kuna wakenya humu wana exagerrate achievement zao, good for them, na at times nafikiri ni meaningless retaliation tu ambazo zinzofanya threads ku deteriorate na kuwa za kitoto lakini sio siri tukiendelea na bla bla zetu bongo TUTAACHWA MBALI.

Na kingine, hembu tuanze kutafakari huu utanzania,ukenya nakadhalika ni nini haswa? Kule bismark wangeshusha kidogo mstari si hadi wachaga na wapare wangekua wa kenya?

Lets go beyond these mzungu made borders and rise as a people. Divided we fall united we will be a very strong people. Leo hii hata wahindi wanatudharau aisee! Watu hawana hata theluthi ya rasilimali zetu, wao wanachijivunia ni wingi wao tu! Hata wachina. Why cant we learn from that?
 
Back
Top Bottom