Wewe ni punguani.
Farage ameshinda uchaguzi UK kwa kishindo kwa kampeni yake ya kuzuia wahamiaji kutoa ULAYA na Middle east. HIVI na akili yako kiduchu unafikira waingereza wanahofia hayo mataifa?
ngoja nikuelezee kidogo.
KUNA MATAIFA huwa hayatatui matatizo yao.wanatengeneza mabomu, graduates wasio na kitu kichwani wasio na kazi.nafasi chache za ajira, mgawanyo mbovu wa uchumi na uvurundo mwingi.
MATAIFA haya mara zote huwa na NET EMIGRATION.hakuna anayetaka kuishi kwenye hizi nchi. Mfano wa nchi hizi ni, ZImbabwe, Kenya, Western african countries, nchi za ulaya mashariki, mexico you name it.
Kuna nchi zina social welfare nzuri, zina opportunity kwa kila mtu, zina nafasi nyingi za kujiendeleza an kupata ajira, zina mgawanyo mzuri wa wasionacho na wenye nacho.
NCHI HIZI zina Net IMMIGRATION, Mfano, UK, Germany, US, Canada,Japan, Singapore, Tanzania, Botswana etc.
Sasa kinachotokea kwa nchi za kundi la pili, ama ni kupokea hawa wakosa kazi, au kuweka vizuizi.Marekani na UK, wameweka utaratibu mzuri sana, kama unavigezo flani, wao watakuomba ubaki, kama elimu yako ni ya kuunga unga, hupewi kazikwani kuna wenyeji wanaweza kuzifanya.
Ni utaratibu unaotakiwa uwekwe Tanzania pia, Kazi za Ualimu, basic jobs etc zipewe kwa mgeni mara baada ya tangazo kuwekwa kwenye gazeti kwa wiki 4 na asitokee mtanzania mwenye vigezo vya hiyo kazi.
simple and clear. Kama kuna watanzania 20 wewe mkenya mmoja si vibaya ukarudi kenya kutafuta kazi. Ndio utaratibu wa UK kwa mfano.
Mie sioni sababu ya kukataa kukaribisha the best from any nation in the world,its better.
Huu upuuzi wa kuajiri waalimu wa chekechea,wapagazi si mzuri, fro Social stability. Sio kwa TZ tu, hata kwa Kenya. Siku mkiwa na net immigration mtaelewa hili.
STOP mentioning me kwenye thread zisizo na kichwa wala miguu tafadhali.