Don't fear Kenyans, President Uhuru Kenyatta tells East Africans



Buda, wacha zako na ukuwange serious.

Tutaenda mahali pesa, kazi na moyo zinasema tuende.

Kama hutaki kutembea nchi zingine uwe expatriate huko, kaa kwako. Hakuna mtu ameku-force. Lakini si ati unaona watu wengine wanatembea alafu useme ati hawafai kufanya hivyo.
 

Mie na ongelea angle ya Head of state wewe unaleta hadithi za individual pursuit of right to work/travel anywhere they wish.
APPLES and ORANGES.

any person can work wherever they wish,an elected official can not go on record promoting his people to work elsewhere,this is lunacy. y'all remind me of an Italian town mayor who set aside a jobless fund to assist people to travel to UK and German to look for job. It's desperation.

Credit is given to a head of state who generate jobs in abundance, the fact that you have more graduates than the job market can absorb is a huge policy blunder.

FYI,You have no idea where i am or what i do, so kindly focus this thread on the matter at hand, which is a head of state siphoning his people to get employed elsewhere,however uninvited they are.
 

Mkulu acha kupoteza muda wako wa maana kubishana na huyu. Yeye hana uwezo to decipher. Haya yote tuliyaongea sana. Hawa wageni hapa jf. Huwezi jisifia eti RAIA wako wanatoka nchi yako wa Naenda nje ya nchi. Kiuchumi ni shida....
Back 2009 tulijadili sana protectionism NDANI ya EU. Tukafikia muafaka kuwa protection of employment is inevitable especially in attractive and potential land.
 
uzuri ni kwamba they come and go for 10years.....huwezi kuuita mkutano wa watu wa nchi mbili kuwa ni wa region nzima. this is now sickening!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…