Don’t look down upon what others do for a living

Don’t look down upon what others do for a living

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1584948242100.png
 
Hapa kwetu kazi zinazo dhalauriwa 'low skilled jobs' ni ualimu wa shule za msingi ulinzi, public cleaners kwenye ma hospitali Barabara nk....... lakini wengi wa natamani kuzipata ila wapi kwahiyo dhana ya low skilled jobs haifanyi kazi hapa bongo

Sent using Jamii Forums mobile app
Walimu Ulaya wanaheshimika sana
 
Nakumbuka wakati nipo chuo, tulikuwa na muitalia alituambia yeye akirudi kwao na hasa amapokuwa likizo, huwa anafanya kazi za ubarmaid. Na alitwambia anaingiza hela nyingi sana, maana anafanya kwa masaa.

OVA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom