Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni ajira inayotambulika na muajiri/muajiriwa wanalipa kodi?
Hapa kwetu kazi zinazo dhalauriwa 'low skilled jobs' ni ualimu wa shule za msingi ulinzi, public cleaners kwenye ma hospitali Barabara nk....... lakini wengi wa natamani kuzipata ila wapi kwahiyo dhana ya low skilled jobs haifanyi kazi hapa bongo
Walimu Ulaya wanaheshimika sanaHapa kwetu kazi zinazo dhalauriwa 'low skilled jobs' ni ualimu wa shule za msingi ulinzi, public cleaners kwenye ma hospitali Barabara nk....... lakini wengi wa natamani kuzipata ila wapi kwahiyo dhana ya low skilled jobs haifanyi kazi hapa bongo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mfano?