Dont marry a person you can live with, marry the one you cant live without!!!

Dont marry a person you can live with, marry the one you cant live without!!!

Mapenzi hayana formula hasa real love. Huu uzi unaapply kwa wale watu wanaopenda kuishi maisha mazuri bila wao kuyatolea jasho.ready made life. Ila idealy hakuna kitu kama hicho
 
This is practically wrong,na ni udhaifu mkubwa sana!
 
Nimeiona hii mahala nikaipenda.

Ukaipenda kwamba ni kweli au ukaipenda kwamba ni uongo mtupu?! Hakuna kitu kama hicho, eti someone you CAN'T LIVE without?!?! It's only God that you can't live without, no any other being apart from Him. Ukijikuta kwenye hali hiyo jua hujapevuka kiakili bado.


Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Hapa kumebeba mtazamo wa ku'ban "onja-onja"
Yaani ukimpenda oaneni !
Sio mnapigana miti kihasarahasara!
 
Back
Top Bottom