Mapenzi hayana formula hasa real love. Huu uzi unaapply kwa wale watu wanaopenda kuishi maisha mazuri bila wao kuyatolea jasho.ready made life. Ila idealy hakuna kitu kama hicho
Ukaipenda kwamba ni kweli au ukaipenda kwamba ni uongo mtupu?! Hakuna kitu kama hicho, eti someone you CAN'T LIVE without?!?! It's only God that you can't live without, no any other being apart from Him. Ukijikuta kwenye hali hiyo jua hujapevuka kiakili bado.