Prof_Adventure_guide
JF-Expert Member
- Dec 21, 2023
- 533
- 1,499
Hivi who tf aliwaambia kuwa viongozi wa dini hawaruhusiwi kujihusisha na siasa? Mbona mnatunga sheria kichwani kwenu alafu mnaanza ku-suppress watu wa Mungu as if wao sio citizens? This is some real bulls**t! Mna-act kama mafirauni waliochoka – mnaogopa sauti za watu wanaosema ukweli kwa sababu zenu za giza.
Listen up! Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ibara ya 12 hadi 22, inatamka wazi juu ya haki za binadamu, uhuru wa maoni, uhuru wa kushiriki shughuli za kijamii na kisiasa, bila kubagua dini wala cheo. Ibara ya 13(1) inasema kila mtu ni sawa mbele ya sheria! So why the hell are y’all targeting religious leaders kama vile ni criminals?
Viongozi wa dini ni raia wa Tanzania—wana haki zote kama wengine. Hakuna kifungu chochote kwenye Katiba kinachokataza kiongozi wa dini kuwa na maoni ya kisiasa, kuzungumza kuhusu haki, au hata ku-criticize system iliyooza. So what’s the f*ckin’ deal?
Freedom of expression ipo protected na Katiba Ibara ya 18. That means—kama Padre, Sheikh, au Mchungaji akisema “hii system imeoza”—that’s not a crime, that’s civic duty. He’s being real. Sasa nyie mna-wa-piga, mna-wa-tisha, wengine hata mna-wa-dhalilisha public. Damn! That’s some satanic move, bruh.
Hivi mnajua mna-plant laana kwenye taifa? Mnatengeneza taifa la woga na bloodshed. Mmekosa ustaarabu, hakuna justice kwenye mahakama zenu—zimegeuka tools za oppression. Polisi wamegeuka damn zombies with guns! Badala ya kuwa protectors, wamegeuka hitmen wa system.
Na mnadhani hii movie itawashinda? Hell nah! Karma gonna catch up soon. The people, the streets, and the voice of justice will rise—na mtaishia kusombwa kama magugu ya udhalimu.
Walindeni viongozi wa dini. Waheshimuni. Wawasikilize. Wanapoongea hawasemei matumbo yao—wanasema kwa ajili ya taifa. Don’t play yourselves thinking you above God. You ain't.
Sheria zinasema hivi:
Katiba Ibara ya 13(1): Kila mtu ni sawa mbele ya sheria.
Ibara ya 18: Uhuru wa kutoa maoni, kupata na kutoa taarifa.
Ibara ya 20(1): Kila mtu ana haki ya kushiriki kwenye shughuli za kisiasa na kijamii.
Hakuna sheria yoyote inayosema viongozi wa dini wasijihusishe na siasa.
Mwenye ushahidi aje ausome hapa kama ana ny**i.
This is a wake-up call. Mchezo mnaocheza siyo clean. Fix up before the streets erupt.