cyrustheruler
JF-Expert Member
- Jul 20, 2015
- 2,044
- 1,869
Msambaa mshamba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ni sawa na kumuomba msanii hela ili upige nyimbo zake. Badala ya kuomba hela wewe unamwambia akafanye shoo kwa gharama ya chini akikataa na kulalamika unaacha kupiga nyimbo zake. kwa nchi zilizokomaa kisheria wangeona kosa ila kibongobongo inaonekana fresh.Aisee...
Mkuu, redio ziko nyingi na hamna msanii mwenye haki ya kupigiwa nyimbo zake kila redio.Vipi msanii akisema sitaki kituo fulani kipige nyimbo zangu?Hiyo ni sawa na kumuomba msanii hela ili upige nyimbo zake. Badala ya kuomba hela wewe unamwambia akafanye shoo kwa gharama ya chini akikataa na kulalamika unaacha kupiga nyimbo zake. kwa nchi zilizokomaa kisheria wangeona kosa ila kibongobongo inaonekana fresh.