Dont Undersetimate the Power of Clouds...

Dont Undersetimate the Power of Clouds...

kama Ruge ndio kila kitu mafanikio ya diamond.. kwa nini asisababishe wasanii waliopitia kwake wafanikiwe kama diamond... eg kina barnaba, nandy, ladyjaydee, ray c, THT..
Ronaldo anaweza kusema Sir Alex Ferguson ndio kila kitu kwenye mafanikio yake ya mpira, sasa wewe utabisha kwasababu Louis Nani hakuweza kufika kiwango kama cha Ronaldo?
 
Inategemea na hoja.. fergurson na ronaldo ni case tofauti ya diamond na ruge..

Ruge hakumtoa diamond... na hata yeye anathibitisha hilo... why useme ruge ndie sababu ya mafanikio ya diamond?

Diamond amefanikiwa sababu ya hard working, life style yake kama reality show, hata asipoimba maisha yake yanakuvutia kumfatilia kwa vituko, mziki mzuri ambao unachezeka na kuimbwa na mashabiki kiurahisi, kujua kucheza na social media yeye mwenyewe, na wanaomzunguka... pia sio mbahili anakula na wengi.. ana jeshi mitandaoni zaidi ya watu 300 ambao kila mmoja ana mafollowers kibao,, na hilo jeshi anawalipa hela za bundle na soda wampost post... mojawapo wale waliokufa juzi kwa ajali kina plutnumz mondi, ..

ndio maana wimbo diamond akitoa hata sasa hivi unaenea haraka nchi nzima sababu wanaupost post kila sehemu... sasa unaanzia wapi kusema bila ruge diamond asingefanikiwa.. mbona kina barnaba hawafanikiwi kama diamond ? ruge anampenda diamond kuliko nandy ? au barnaba ? au THT yake ?

mbagala imerecordiwa gheto kwa bob juniour... ka studio hakana vifaa vya kuzidi milion 5... hata vocal wanaingiza usiku kuepusha makelele maana hakana sound proof ya kueleweka.. na bado ukawa hit song.. na vocal ameingiza mara moja tu alivyokuwa serious na kazi...

kina ruby ruge anawaandikia hadi nyimbo ndio maana anawatawala.. ila uwezo wa kumtawala diamond hana....

barnaba na ruge walimponda sana diamond hawezi kuimba na wakamcheka mwaka 2006 alivyoenda kuomba nafasi THT..

na hilo jambo Diamond mpaka leo linamuumiza... na kwa taarifa yako Barnaba alienda omba nafasi WCB wamsaidie promo za soko la nje.. na diamond alimkumbusha hilo jambo la walivyomcheka.. ila akamwambia atamsaidia awezavyo

Ruge katika kosa kubwa analijutia mpaka leo ni kumchukulia poa diamond wakati anatoka....

Mtu ambaye Diamond anasema amemsaidia ni Bob juniur tu japo hawapatani kwa tabia za kike za Bob juniour... ila huyo ndie msaada mkubwa wa diamond.. sababu alimrekodia kwa mkopo ,, na nyimbo za mwanzo alimtengenezea bure kabisa kishkaji tu.. ambapo kina ruge walimtosa kabisa

Ronaldo anaweza kusema Sir Alex Ferguson ndio kila kitu kwenye mafanikio yake ya mpira, sasa wewe utabisha kwasababu Louis Nani hakuweza kufika kiwango kama cha Ronaldo?
 
Kuna mwamba wangu,
Mc maalimu Ponda/Nash mc naamini sidhani kama anaweza kunyoosha mikono Juu.

Soko na pesa vinawatesa Ndio maana wasanii wengi wanachekesha..

Xxl & Fnl zima.
Ni mtoto wa shehe ponda??
 
Inategemea na hoja.. fergurson na ronaldo ni case tofauti ya diamond na ruge..

Ruge hakumtoa diamond... na hata yeye anathibitisha hilo... why useme ruge ndie sababu ya mafanikio ya diamond?
You miss the point. Siku njema.
 
Sio huyo tu Wale jamaa wa Ant virus.. walimtukana saana Ruge..

Ila mwaka 2015 walijirudi na track yao ya Time for the money walirelease hapo hapo.
What'p siwaoni sokoni. Clouds kwenye burudani wana nguvu saana.

Sio kweli..Ruby ni katoto kadogo tu,ni rahisi kumfanya vibaya...

Hawa ni watoto tu...Mtoto aende kinyume na litaasisi jadidi kama Clouds kwa miaka mitatu nadhani sio kitu kidogo..

Huyu msichana ana will power na sio pushover kirahisirahisi..

Na pia yeye kuomba msamaha,sio eti kajiamkia tu asubuhi kaona yamemshibda then akaenda jisalimisha...what if clouds na huyu mtoto wame-cut a deal on something?..na infact clouds will have more respect kuliko mwanzoni..

Level za Clouds ni EFM na mtu kama Sebastian Ndege,etc...sio hivi vitoto..
Clouds hawezi funua pua kwa mataasisi level yake,hawezi kabisa!
 
Sijajua hiyo sio kweli umemaanisha nini.

yaani nimeandika uongo au?

Nimeandika yafuatayo.

1. Sio Ruby aliyejirudi tu walishajirudi Vinega.
2. Clouds wana nguvu kwenye burudani.
3.vinega walirelease track yao inayoitwa time for the money clouds.

Sasa niambie kipi sio ukweli ili twende sawa.
 
Kwani ni lazima clouds kucheza ngoma za ruby?,si kuna vituo vingi vya redio!!
Sema nchi yetu bado haijakomaa kwenye masuala ya sheria. Lakini kitendo cha kutopiga nyimbo kisa amekataa kwenda fiesta ni kesi huko ustaarabuni.
 
Ila Nandy yuko vizuru sijui kama Ruby anaweza kumsumbua.
daaahh bab naheshimu uwezo wa Nandy ..lakini nathubutu kusema hamuwezi ruby..hii ngoma aliyoiachia ruby sasa Hivi aiseee level zake sio za nchii waweza sema tiwa savage kapita mlee ni balaa kwanza sikuwa nimeamini kama ameimba ruby...ruby anaimba aiseeee
 
Sema nchi yetu bado haijakomaa kwenye masuala ya sheria. Lakini kitendo cha kutopiga nyimbo kisa amekataa kwenda fiesta ni kesi huko ustaarabuni.
Msingi wa hio kesi nini? Kwamba redio lazima ipige wimbo wa kila msanii?
 
Msingi wa hio kesi nini? Kwamba redio lazima ipige wimbo wa kila msanii?
Kwamba wameacha kupiga nyimbo zake kisa aligoma kwenda fiesta. Ni kesi ya kimaadili zaidi ambayo vyombo kama TCRA na BASATA hutakiwa kuishughulikia.
 
Hivi Jide bado anaimba? Wimbo wake wa mwisho unaitwaje? Huwa nasikiliza redio na kuangalia tv sijamuona wala kumsikia muda mrefu.
Mkuu anaimba wewe kutomsikia haimaanishi haimbi. Ana wimbo unaitwa baby, mzuri tu.
 
Back
Top Bottom