Dont Undersetimate the Power of Clouds...

Ruby a.k.a Fala, kadhihirisha ufala wake kwenye xxl, na airtime haipati ng'o, mtoto mjinga sana yule
 
Watu tulikuwa tunaangalia tu alivyokuwa anajazwa ujinga huku wengine waliokuwa wanamjaza hawajui hili wala lile kwenye hii tasnia.

Mbaya zaidi, wengine waliokuwa wanamjaza ujinga bado kula kulala huku wengine ni watiifu kweli kweli kwa mabosi wao na mshahara unaowafanya wawe na adabu kiasi hicho hata 500K wengine haufiki!
 
I see! ila bongo hakuna mafia kabisa. nashangaa how those folks (ruge and coy) still alive today!? wamefanya dhuluma nyingi kwa vijana wetu. hawastahili kuishi na kuneemeka kwa madhambi yao. AK-47, once opted... is a solution.@RRONDO
 
Mara nyingine inabidi ujifanye mjinga kutimiza lengo lako.
 
  • Thanks
Reactions: 7ve
I see! ila bongo hakuna mafia kabisa. nashangaa how those folks (ruge and coy) still alive today!? wamefanya dhuluma nyingi kwa vijana wetu. hawastahili kuishi na kuneemeka kwa madhambi yao. AK-47, once opted... is a solution.@RRONDO
Not to that extent dude. Hawa jamaa wanawazidi watu akili ndio maana wanaendesha music industry bongo.
Hakuna msanii anaeshikiwa bunduki.
 
alafu eti anasema nimerudi kwa wazazi wangu,dozen,mammy hahaha too low
Yaani amesikitisha sana. Unaweza kupatana na watu, au kuomba msamaha ila sio kujishusha kiasi hiki.
 
Watu tulikuwa tunaangalia tu alivyokuwa anajazwa ujinga huku wengine waliokuwa wanamjaza hawajui hili wala lile kwenye hii tasnia.

Mbaya zaidi, wengine waliokuwa wanamjaza ujinga bado kula kulala huku wengine ni watiifu kweli kweli kwa mabosi wao na mshahara unaowafanya wawe na adabu kiasi hicho hata 500K wengine haufiki!
Wasanii wengi wanajazwa ujinga na wanaowazunguka wakiwemo washabiki wao ila wakifulia wanabaki peke yao.
 
Lady jd yuko wapi sasa hivi na Clouds iko wapi? Jibu lako ndio utajua nani kiboko ya mwenzie

mkuu samahani unajuwa unachokisema lakini.Ebu fikiri tangu jide amerudi hafanyi vizuri.Jide kaanza muziki kitambo anajuwa kia aina ya fitna
 
Hivi Jide bado anaimba? Wimbo wake wa mwisho unaitwaje? Huwa nasikiliza redio na kuangalia tv sijamuona wala kumsikia muda mrefu.
 
Back
Top Bottom