Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
wapi tena utakutana na vijana wenye karba hiyo.. station gani?Hizo swags hazifanyikazi kwingine?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wapi tena utakutana na vijana wenye karba hiyo.. station gani?Hizo swags hazifanyikazi kwingine?
Kashikilia msimamo wakeSasa kaka angu Nash Mc
Anagopa tu kusema amesanda
You are totally wrongIla hii ishu ni kama kublackmail wasanii. Huyu bifu lilianza kwa wao kutoa malipo kidogo fiesta wao wakalileta kwenye kumnyima airtime. Watu wa haki za wasanii au wizara iingilie kati huu uhuni wa clouds na hicho kipindi cha kuomba msamaha ni ushahidi tosha wa uhuni wa clouds.
Waliziapply na ndio sababu ya clouds kuwaajiri...wako na vitu ambavyo ni unique..Hawakuweza ku apply hio swag walipokuwa mwanzo?
Nash namfananisha kwa mbaali na Immortal technique..Sasa kaka angu Nash Mc
Anagopa tu kusema amesanda
Kuna mwamba wangu,
Mc maalimu Ponda/Nash mc naamini sidhani kama anaweza kunyoosha mikono Juu.
Soko na pesa vinawatesa Ndio maana wasanii wengi wanachekesha..
Xxl & Fnl zima.
Ila Nandy yuko vizuru sijui kama Ruby anaweza kumsumbua.
Ye anasema zima hana mafanikio yeyote ili watu wamfuateKashikilia msimamo wake
XXL...Zimaaaa
FNL....Zimaaaa
Bora kusikikizaa taarifa ya habari
karibia wote ni fresherz... wana project yao nimesahau jina ya kutafuta presenters.Hawakuweza ku apply hio swag walipokuwa mwanzo?
Mbona wanamuziki walikuwepo wazuri kabla ya hizo taasisi? Nadhani hawa sio wanamuziki labda cover artist.Maana hawapigi hata vyombo.Wanatengenezwa na kubomolewa na taasisi na sio hapa TZ tu hata huko mbele.
Management ina mchango wake ila watu binafsi wanauwezo wao tena mkubwa saana.CMG ndio inawajenga ndio maana u star wanaupatia hapo.
una maanisha hata mimi nisiye na talent ya utangazaji nikienda clouds wakanitrain nitakuwa kama Bdozen?,Mwambie atoke hapo aende kwingine tuone kama atakuwepo.
Mbona wapo wengi hawana talent wanaropoka tu siku zinaenda. Kuna kitu about Clouds mtu akiwa nao anakuwa maarufu sana akitoka hapo anakuwa normal.una maanisha hata mimi nisiye na talent ya utangazaji nikienda clouds wakanitrain nitakuwa kama Bdozen?,