Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ipi hiyo mkuu??Karudi masoud kipanya,gadner itakuwa ruby.
JD katoa nyimbo mpya mwezi uliopita hata sijawahi kuickia
Inaitwa baby nadhaniIpi hiyo mkuu??
Yaani umepatia kum-describe kama shabaha ya gogo bila kugusa kuta za sinkiNiliwahi kusema Ruby ni msanii mwenye sauti na kipaji cha pekee lakini hana MAARIFA, NIDHAMU na amejaa USWAHILI
kabisa.Wanajitahidi.
HahaHuyo jamaa muhuni...anafikiria ile bidhaa muhimu🙂
Klauzi ndo nini?? Acha kuharibu majina ya taasisi za watuNa klauzi chao hiki wanawafanya watoto wakike na wakiume wanavyotaka wao, hawa kina nshomile ni watu wabaya sana aisee
Sikuamini pia.Kilichonishangaza ni kwamba zile nyimbo 3 za mwanzo za ruby...Ruge kahusika katika uandishi..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]asiyefunzwa na ***** hufunzwa na Ruge.
Aaah ninayo. Mbona kali tuInaitwa baby nadhani
Ndivyo ilivyokuwa tangu hapoMimi nilijua wamemtengeneza Nandy kuziba pengo la Ruby
Mimi nilijua wamemtengeneza Nandy kuziba pengo la Ruby
Kuna Mmoja Mrs X Shilawadu Mwengne ni Mrs BossSwali je, Rubby na Nandy wataweza kudumu sokoni kwa bidhaa ya aina moja?
Bidhaa ya nani itakuwa na thamani sokoni?
sijayaskia maneno ila Clouds ndiye mastermind wa Promo za muziki Tz.Hivi maneno aliyoongeaa Rubby alipangiwa aongee hivo au ??
Kama ni akili zake bhasii clouds kwa ujumla itawaendesha sana wasanii