Dont Undersetimate the Power of Clouds...

Ila hii ishu ni kama kublackmail wasanii. Huyu bifu lilianza kwa wao kutoa malipo kidogo fiesta wao wakalileta kwenye kumnyima airtime. Watu wa haki za wasanii au wizara iingilie kati huu uhuni wa clouds na hicho kipindi cha kuomba msamaha ni ushahidi tosha wa uhuni wa clouds.
 
Kuna Mmoja Mrs X Shilawadu Mwengne ni Mrs Boss
Aseeh realy?

Ruby mbona kuna siku namwona FNL na lijamaa fulani.. halafu huyo manzi ni mbovu mbaya [ruby].
 
sijayaskia maneno ila Clouds ndiye mastermind wa Promo za muziki Tz.

Ukikosana nao basi unahatihati ya kutotoboa.

Waangalie wasanii waliojiita timu EFM nay na wenzake naamini sokoni hasikiki kama kipindi kile cha akadumba.
Naunga mkono clouds wama impacts kubwa kwenye mziki wa bongo na sijui kwa ninii ??

Management ndo bora kulizo nyingine au ??

Rubby kama ni kujisafisha kweli kajisafishaa lakini labda kwa kuwa ni mwanamke sio kwa unyenyekevu ule
 
Management inacheza na loopholes za station zingine tu.

Creativity kwa Presenters[Credit kwa vijana wa Arusha wanaswags saana]
 
Aseeh realy?

Ruby mbona kuna siku namwona FNL na lijamaa fulani.. halafu huyo manzi ni mbovu mbaya [ruby].
Ha ha ha the beuty in on eyes of the beholder arifu so huwez jua watu wamekufaje
 
Kila siku nawaambia kipaji peke ake hakiwez kufikisha malengo yako katika sanaa
Lazima uwe mjanja mjanja ukiona ana mchango kweny sanaa yako we mchekee hata kinafki ilimradi upate mkate
Hata hao kina Diamond na kiba ni wasanii wakubwa lakini wanajitahid sana kwenda sawa na media
 
Management inacheza na loopholes za station zingine tu.

Creativity kwa Presenters[Credit kwa vijana wa Arusha wanaswags saana]
Hizo swags hazifanyikazi kwingine?
 
Kila siku nawaambia kipaji peke ake hakiwez kufikisha malengo yako katika sanaa
Lazima uwe mjanja mjanja ukiona ana mchango kweny sanaa yako we mchekee hata kinafki ilimradi upate mkate
Hata hao kina Diamond na kiba ni wasanii wakubwa lakini wanajitahid sana kwenda sawa na media
Kweli kabisa.
 
Sasa kaka angu Nash Mc
Anagopa tu kusema amesanda
 
Back
Top Bottom