Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,657
- 20,967
Ila hii ishu ni kama kublackmail wasanii. Huyu bifu lilianza kwa wao kutoa malipo kidogo fiesta wao wakalileta kwenye kumnyima airtime. Watu wa haki za wasanii au wizara iingilie kati huu uhuni wa clouds na hicho kipindi cha kuomba msamaha ni ushahidi tosha wa uhuni wa clouds.