Dont Undersetimate the Power of Clouds...

Dont Undersetimate the Power of Clouds...

Ila hii ishu ni kama kublackmail wasanii. Huyu bifu lilianza kwa wao kutoa malipo kidogo fiesta wao wakalileta kwenye kumnyima airtime. Watu wa haki za wasanii au wizara iingilie kati huu uhuni wa clouds na hicho kipindi cha kuomba msamaha ni ushahidi tosha wa uhuni wa clouds.
You are totally wrong
Ile ni private institution braa wana uhuru wa kuchagua wimbo wanaoutaka wao ili mradi usiende against laws of the state
Ni mtu katumia nguvu zake kutengeneza media yake afu umpangie piga nyimbo za flani
BIG NOOO
 
Sasa kaka angu Nash Mc
Anagopa tu kusema amesanda
Nash namfananisha kwa mbaali na Immortal technique..

Immortal alipigana vita Kina Brother Ali wakamwacha nwenyewe. Jamaa alikongoja lakini mwisho amepotea taratibu.

Sikiliza "The message and The money"

...And stop being a fucking commodity

And if you didn't understand what I've just said then you already waiting to get fucked

For example; a lot of these promoters are doing showcases...
Kuna mwamba wangu,
Mc maalimu Ponda/Nash mc naamini sidhani kama anaweza kunyoosha mikono Juu.

Soko na pesa vinawatesa Ndio maana wasanii wengi wanachekesha..

Xxl & Fnl zima.
 
Wanatengenezwa na kubomolewa na taasisi na sio hapa TZ tu hata huko mbele.
Mbona wanamuziki walikuwepo wazuri kabla ya hizo taasisi? Nadhani hawa sio wanamuziki labda cover artist.Maana hawapigi hata vyombo.
 
karibia wote ni fresherz... wana project yao nimesahau jina ya kutafuta presenters.

What are you tryin to drill?
CMG ndio inawajenga ndio maana u star wanaupatia hapo.
 
They say that "before you start a war, you better know what you are fighting for"
Clouds wana nguvu kubwa katika music industry. Wana uwezo wa kumpandisha au kumshusha msanii.
 
CMG ndio inawajenga ndio maana u star wanaupatia hapo.
Management ina mchango wake ila watu binafsi wanauwezo wao tena mkubwa saana.

Management inamjengaje Adam kuongea anavyoongea hadi watoto manyumbani wanamuiga?
 
Management ina mchango wake ila watu binafsi wanauwezo wao tena mkubwa saana.

Management inamjengaje Adam kuongea anavyoongea hadi watoto manyumbani wanamuiga?
Mwambie atoke hapo aende kwingine tuone kama atakuwepo.
 
una maanisha hata mimi nisiye na talent ya utangazaji nikienda clouds wakanitrain nitakuwa kama Bdozen?,
Mbona wapo wengi hawana talent wanaropoka tu siku zinaenda. Kuna kitu about Clouds mtu akiwa nao anakuwa maarufu sana akitoka hapo anakuwa normal.
 
Back
Top Bottom