Chimbuvu
JF-Expert Member
- Jul 17, 2012
- 4,401
- 2,345
Nimekaa nikifikiri,ntafanyaje bila wewe Madame B katika maisha yangu.siku hazihesabiki ambazo nimekuwa mpweke.
Nawe unafahamu ukweli kuwa nilikuwa Bukavu kwa mazungumzo ya amani baina ya M23 inayodhaminiwa na bujibuji na serikali ya congo, Baba V akiwa shahidi wa makubaliano.
Kwa kweli mpenzi wangu sipo vizuri kadiri muda unavyoenda,naweza nikachanganyikiwa sababu yako Madame B.
Niambie unajisikiaje Madame B,mimi najihisi mpweke huku bukavu,je unanifikiria na kuniwaza usiku kucha kama ninavyokuwaza?
Ninapofungua macho yangu,nikiangalia pembeni siioni sura yako nzuri ya kuvutia,nimemiss sura yako,nimemmiss kiss zako.
Nimemiss uchokozi wako na utundu wako,nimemiss kuwa karibu yako,nimepata taarifa kuna watu wanakuzengea achana nao hao akina Chibolo Chilli na tedo .
Siwezi kuishi bila wewe Madame B,,naomba unitunzie penzi langu mpaka nitakaporudi nikitokea congo kinshasa
nalingi yo Madame B

Last edited by a moderator: