Nimekaa nikifikiri,ntafanyaje bila wewe Madame B katika maisha yangu.siku hazihesabiki ambazo nimekuwa mpweke.
Nawe unafahamu ukweli kuwa nilikuwa Bukavu kwa mazungumzo ya amani baina ya M23 inayodhaminiwa na bujibuji na serikali ya congo, Baba V akiwa shahidi wa makubaliano.
Kwa kweli mpenzi wangu sipo vizuri kadiri muda unavyoenda,naweza nikachanganyikiwa sababu yako Madame B.
Niambie unajisikiaje Madame B,mimi najihisi mpweke huku bukavu,je unanifikiria na kuniwaza usiku kucha kama ninavyokuwaza?
Ninapofungua macho yangu,nikiangalia pembeni siioni sura yako nzuri ya kuvutia,nimemiss sura yako,nimemmiss kiss zako.
Nimemiss uchokozi wako na utundu wako,nimemiss kuwa karibu yako,nimepata taarifa kuna watu wanakuzengea achana nao hao akina Chibolo Chilli na tedo .
Siwezi kuishi bila wewe Madame B,,naomba unitunzie penzi langu mpaka nitakaporudi nikitokea congo kinshasa
nalingi yo Madame B
Chimbuvu
Mambo vipi chimbuvu!!hii thread yako ni Kali sana ila tukumbushane tu kitu kimoja, tunapo ziandika thread zetu tuangalie ni wapi inafaa kupost!!Kwamfano hii yako ingependeza sana kama ungeipost kule MMU. ...!!!AsanteNimekaa nikifikiri,ntafanyaje bila wewe Madame B katika maisha yangu.siku hazihesabiki ambazo nimekuwa mpweke.
Nawe unafahamu ukweli kuwa nilikuwa Bukavu kwa mazungumzo ya amani baina ya M23 inayodhaminiwa na bujibuji na serikali ya congo, Baba V akiwa shahidi wa makubaliano.
Kwa kweli mpenzi wangu sipo vizuri kadiri muda unavyoenda,naweza nikachanganyikiwa sababu yako Madame B.
Niambie unajisikiaje Madame B,mimi najihisi mpweke huku bukavu,je unanifikiria na kuniwaza usiku kucha kama ninavyokuwaza?
Ninapofungua macho yangu,nikiangalia pembeni siioni sura yako nzuri ya kuvutia,nimemiss sura yako,nimemmiss kiss zako.
Nimemiss uchokozi wako na utundu wako,nimemiss kuwa karibu yako,nimepata taarifa kuna watu wanakuzengea achana nao hao akina Chibolo Chilli na tedo .
Siwezi kuishi bila wewe Madame B,,naomba unitunzie penzi langu mpaka nitakaporudi nikitokea congo kinshasa
nalingi yo Madame B
Chimbuvu
Mambo vipi chimbuvu!!hii thread yako ni Kali sana ila tukumbushane tu kitu kimoja, tunapo ziandika thread zetu tuangalie ni wapi inafaa kupost!!Kwamfano hii yako ingependeza sana kama ungeipost kule MMU. ...!!!Asante
Nimekaa nikifikiri,ntafanyaje bila wewe Madame B katika maisha yangu.siku hazihesabiki ambazo nimekuwa mpweke.
Nawe unafahamu ukweli kuwa nilikuwa Bukavu kwa mazungumzo ya amani baina ya M23 inayodhaminiwa na bujibuji na serikali ya congo, Baba V akiwa shahidi wa makubaliano.
Kwa kweli mpenzi wangu sipo vizuri kadiri muda unavyoenda,naweza nikachanganyikiwa sababu yako Madame B.
Niambie unajisikiaje Madame B,mimi najihisi mpweke huku bukavu,je unanifikiria na kuniwaza usiku kucha kama ninavyokuwaza?
Ninapofungua macho yangu,nikiangalia pembeni siioni sura yako nzuri ya kuvutia,nimemiss sura yako,nimemmiss kiss zako.
Nimemiss uchokozi wako na utundu wako,nimemiss kuwa karibu yako,nimepata taarifa kuna watu wanakuzengea achana nao hao akina Chibolo Chilli na tedo .
Siwezi kuishi bila wewe Madame B,,naomba unitunzie penzi langu mpaka nitakaporudi nikitokea congo kinshasa
nalingi yo Madame B
Chimbuvu
Usijali My Dear Chimbuvu, Na Ndio maana niliamua kuolewa na Waume 5, Ili ikitokea Dharula kama hii nimpate wa Kuniondoa Upweke.
Usijali, Umempata Wa Kukushikia Nafasi yako....... Shark........ Anakaimu nafasi yako vizuri sana Mpaka Najihisi Bado niko na wewe.
Ila Usijali Kwani hata mimi bado Nakukumbuka sana mpenzi,
Unasalimiwa sana na wana Chit Chat Woooote.
Ila Taarifa zilizo Mjini kwa sasa ni Suala la Mume mwenzio Ruttashobolwa Kunisaliti, Mimi kumpa Talaka Mume mwenza mwenzio Chilli na Mume mwenza Mwenzio Arushaone kukataa kutoka na Mimi siku ya Valentine Day.
Rudi Honey........
Nakuwaza Sana.
Duh! Kumbe kaimu anaweza kukaimu ukaimu???
Only in tanzania
Kwa nini asiweze?.....:becky::becky::becky:
Hujajua tu mkuu.. hapa ndo pake haswaa.
Mambo vipi chimbuvu!!hii thread yako ni Kali sana ila tukumbushane tu kitu kimoja, tunapo ziandika thread zetu tuangalie ni wapi inafaa kupost!!Kwamfano hii yako ingependeza sana kama ungeipost kule MMU. ...!!!Asante
Mount meru universityMMU ndio nini