Don't Worry, Don't Care, Don't Give a Dam!. Just let then say, Whatever They Say!, Watasema Mchana, Usiku Watalala

Ngoja nikafanya service ya Jabir Hamza then nipitie sokoni nimnunue Sara nikamle. Mengine tutachangia baadaye.
 
Hawa wahariri Kenya bana, wana shida gani na Tanzania.
Enzi ya JK walikuja na vikatuni vua ajabi ajabu; wao kinawauma nini kwa maamuzi yanayofanywa na JPM?

Mtu mwongo na mwenye hila hataacha kuwa na hila wakati wa shida au raha. Wakati Everton imekuja bongo mara ya kwanza wakasema Everton imekuja Nairobi. Inafahamika wanauhadaa ulimwengu kuwa Kilimanjaro ipo kwao.

Obama baada ya kustaafu alikuja na familia yake Serengeti na kwenda kogero peke yake, wao wakaja na mapicha-picha eti Obama family iko Nairobi na wata-spend Masai Mara.

Kila mmoja anashinda mechi zake na wao washajifungia. Sisi tunaokomaa si watuache tuuu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi bado sijaamini,kwamba wataalamu wetu waliperekewa sampo za papai,oil,maembe,wakasema zina covid!
Hapa Mkulu anajaribu kuleta" confusion/misinformation,"ili wananchi wabaki wana "hang" hewani,wamuone kama mzalendo,
Hizi ni teknik za ma dikiteta wote duniani,wanapojaribu kutafuta sympathy ya wananchi!
Tuliona alichosema wakati Mo ametekwa,akamlaumu mambo sasa,Yaani Amiri Jeshi mkuu hana Taarifa Mo alikuwa wapi!Just A simple Police officer ajue!realy!
Sasa tumesikia alichosema kuhusu mazishi ya Mh Manda,anamlaumu RC wa Mtwara!huyu RC alikuwa anafata trend,iliyopo sasa hv,ya kuzika marehemu kama mizoga,
Harafu anatuletea story,oh Chato ni nyumbani,kwa nini watu wanahoji,Hapo chato kuna ikulu ndogo!kwa nini usikae Dodoma,mmetumia pesa kibao kujenga Ikulu,amekimbia kujificha chato,amekimbia Korona Dar,ila anatuambia sisi tuchape kazi!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Noted !!
 
Magufuli anajua fika kuwa corona is quite deadly NDIYO MAANA QUITE EARLY AMEJIFICHA KIJIJINI CHATO, na walio wake wa karibu, knowing for sure there is covid-19, a killer disease within a spate of 14 days.

SIJUI MOTIVE YAKE NI NINI KUWA MKAIDI NA STRICT WHO MEASURES. Liko rohoni mwake
 
Nimeona pia mahali clip ikionyesha madereva wa Tanzania wakizuiwa na kundi LA watu kuingia Rwanda huku wakipigiwa kelele "corona, corona".
Tumeanza kunyanyapaliwa nje sababu ya mtu mmoja tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 



🤣🤣🤣🤣🤣🤣Msumari kwa donda ndugu🤣🤣🤣..Paskali muonee huruma Rais wako jamani🤣🤣🤣🤣!
Kwanini umeleta habari hilo gazrti hapa hahahahahhahahaa.hahhhahaha..hahhahaa
 
What about Swahili audience? Mnatutenga mkuu
 
Naona jiwe linapenda kusifiwa. Sasa kuanzia leo nasifia kila kitu anbacho jiwe anafanya. Safi kabisa kukaa chato, safi kabisa kutuma mapapai kama sample, jiwe oyeeee, jiwe chaguo la mungu lazima kuna kitu mungu alimuonyesha tuungane naye atatuvusha tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…