Don't Worry, Don't Care, Don't Give a Dam!. Just let then say, Whatever They Say!, Watasema Mchana, Usiku Watalala

Kumbe kuna watu walizungumzia kum tame mtu?!. Tukimaliza kuzika, tukae na watu hawa kuwauliza walipanga kum tame vipi?, maana kulitokea tetesi za mtu kupelekwa Nairobi hospital kwa siri na kurejeshwa kwa siri, could it be he was the one, and was tamed?!.

Wanabodi, mimi ni miongoni mwa wana jf, tuliandika mengi kumhusu rais wetu, Dr. John Pombe Joseph Magufuli, hivyo kipindi hiki cha maombolezo, napitia baadhi ya mabandiko kwa ajili ya kumuaga rasmi.

Japo umetangulia, lakini kauli zako, maono yako na kile ulichokiamini, kitabaki na sisi Milele.
Sisi tulikupenda, lakini Mungu amekupenda zaidi.
Bwana Alitoa, Bwana Ametwaa, Jina Lake Lihimidiwe!.
Raha ya Milele Umpe Ee Bwana, na Mwanga wa Milele, Umuangazie, Apumzike kwa Amani...Amina x3.
RIP Dr. John Pombe Joseph Magufuli
Buriani ya kuonana...
Paskali
 

Easy! Anza na hao waliompeleka nairobi na kumrudisha halafu mhariri wa gazeti kufuatia kama unaamini consiperacy hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…