Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwan wake? shobo tu hyu duu kuna mdau hpo juu kasema "imaginary bae"Kitamu kula na nduguyo!,ukichukuliwa bae wako na wewe tafuta mnyonge umchukulie
hapa nilipo naumiza kicha ili nimfahamu huyu bi dadaGeorge Bantu kumbe ndio usingizi wako
Haaaaaahaaaaaaaaa co bwana ake ila kanashoboka tu alishawahi leta uzi hmu anampenda jamaa hata kufahamiana hawafahamiani anamuona tu mitandaoni anataka kuzinga malaya wengine nao wasimsogelee!Sasa hapo ndo umekoleza moto kwa jinsi navyojua wanawake lazima amchukue huyo bwana yako tena bure bila sent
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Cjui mumewe, mchumba ama mpenzi wke anajua km bibie kafa kaoza kwa Bantu? Maana c kwa shobo hz aseee hyo jamaa alienae anakaa nae bc tu akili yote kwa Bantu!
Mkuu huyu mleta post unamfahamu?we dada bola utoe io sula ako kwenye avatar,unajiaibisha kwa tunaokufahamu
kwanza ile likizo ya wiki moja ulkua hukauki hapa clouds,kila unapoenda upo na bantu,sasa unataka kumpangia bantu nani wa kuongea nae na nan sio loh,
hhahahahahahahaha.....baby we kiboko...una trend kinomamwenye kisu kikali ndiye mla nyama ngoja na mie nimvutie waya tena mwisho wa mwezi ujao na wanakaa kaa pale tripple seven pale na kipabu fulani uchwara maeneo fulani lazima nimtongoze mwisho wa mwezi halafu tarehe 8 namwacha
ngoja nianze kurudi nyuma aiseehhahahahahahahaha.....baby we kiboko...una trend kinoma
ngoja nianze kurudi nyuma aisee
Muonee huruma mwanamke mwenziomwenye kisu kikali ndiye mla nyama ngoja na mie nimvutie waya tena mwisho wa mwezi ujao na wanakaa kaa pale tripple seven pale na kipabu fulani uchwara maeneo fulani lazima nimtongoze mwisho wa mwezi halafu tarehe 8 namwacha
Mwache mwenzio nae afikishwe kibo na mawenziWe Doreen since mtemane na Zilla naona unammendea sana bae wangu George Bantu....
Hukauki,kila picha anayopost nakuona wa kwanza kucomment,sijui umeturn on post notification,sielewi....
Unamsumbua na vitext vyako visivyo na kichwa wala miguu..
Wanaume wapo kibao please,peleka interests zako huko kwingine,kwa bantu KOMA kabisa...
Usione vyaelea vimeundwa,tafuta wako muunde nayeye aelee....
Na the way uko na dharau na u-too much know utamtesa tu bae wangu...
Bantu wangu keep ignoring her like you've always been doing...
No chances for thirsty whores...
Hivi JF haina option ya kuturn off comments[emoji125][emoji125][emoji125]i see am about to be attacked...[emoji23],haya karibuni though...