Doreen Andrew hala hala bibi we....

Doreen Andrew hala hala bibi we....

we dada bola utoe io sula ako kwenye avatar,unajiaibisha kwa tunaokufahamu
kwanza ile likizo ya wiki moja ulkua hukauki hapa clouds,kila unapoenda upo na bantu,sasa unataka kumpangia bantu nani wa kuongea nae na nan sio loh,
 
Haya mambo bado yapo? Ajira zifunguliwe tu tuwe bize
 
mwenye kisu kikali ndiye mla nyama ngoja na mie nimvutie waya tena mwisho wa mwezi ujao na wanakaa kaa pale tripple seven pale na kipabu fulani uchwara maeneo fulani lazima nimtongoze mwisho wa mwezi halafu tarehe 8 namwacha
 
Sasa hapo ndo umekoleza moto kwa jinsi navyojua wanawake lazima amchukue huyo bwana yako tena bure bila sent
Haaaaaahaaaaaaaaa co bwana ake ila kanashoboka tu alishawahi leta uzi hmu anampenda jamaa hata kufahamiana hawafahamiani anamuona tu mitandaoni anataka kuzinga malaya wengine nao wasimsogelee!
 
Cjui mumewe, mchumba ama mpenzi wke anajua km bibie kafa kaoza kwa Bantu? Maana c kwa shobo hz aseee hyo jamaa alienae anakaa nae bc tu akili yote kwa Bantu!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
huyo jamaa atakuwa ana lack makubwa sana mpaka bint ana shobokea watu wa kwenye redio kias ana amka alfajir kuwaandikia uzi
mweer
 
hivi kuna watu bado wanagombania wanaume???
 
Ongea na mwanamme wako. Ukifuatilia wanaomfuatilia utafuatilia wangapi ambao hata Instagram hawapo?
 
Leo kazi ipo ni mwendo wa kunyang'anyana tu hahahaha
 
mwenye kisu kikali ndiye mla nyama ngoja na mie nimvutie waya tena mwisho wa mwezi ujao na wanakaa kaa pale tripple seven pale na kipabu fulani uchwara maeneo fulani lazima nimtongoze mwisho wa mwezi halafu tarehe 8 namwacha
hhahahahahahahaha.....baby we kiboko...una trend kinoma
 
mwenye kisu kikali ndiye mla nyama ngoja na mie nimvutie waya tena mwisho wa mwezi ujao na wanakaa kaa pale tripple seven pale na kipabu fulani uchwara maeneo fulani lazima nimtongoze mwisho wa mwezi halafu tarehe 8 namwacha
Muonee huruma mwanamke mwenzio
 
We Doreen since mtemane na Zilla naona unammendea sana bae wangu George Bantu....

Hukauki,kila picha anayopost nakuona wa kwanza kucomment,sijui umeturn on post notification,sielewi....
Unamsumbua na vitext vyako visivyo na kichwa wala miguu..

Wanaume wapo kibao please,peleka interests zako huko kwingine,kwa bantu KOMA kabisa...
Usione vyaelea vimeundwa,tafuta wako muunde nayeye aelee....

Na the way uko na dharau na u-too much know utamtesa tu bae wangu...

Bantu wangu keep ignoring her like you've always been doing...
No chances for thirsty whores...

Hivi JF haina option ya kuturn off comments[emoji125][emoji125][emoji125]i see am about to be attacked...[emoji23],haya karibuni though...
Mwache mwenzio nae afikishwe kibo na mawenzi
 
Back
Top Bottom